[emoji1787][emoji1787] Boss nakuahidi kazi utapata, hakuna connection wewe omba Mungu kapige interview yani huwezi piga interview 3 mfululizo ukakosa lazima upate... Mimi nina shuhuda rafiki zangu asilimia kubwa wamekula vitengo ,tena wao ndio walikuwa wakwanza kuingia utumishi wakawa wananiambia RAJABU kaza unatoboa...Na kweli....So hata wewe mkuu kaza unatoboa wallah.
Mimi kuanzia january Nitakuwa sichart humu sababu nitabanwa na majukumu ya kazi yangu mpya,.
Nitakuwa nafanya kazi kama punda, nitalala offcn mara moja moja[emoji1787][emoji1787]
Pia nitakuwa nakuja kuwatia moyo vijana wenzangu, cz i know ujobless sio kitu kizuri kabisa ,yani bora jobless awe mtoto wa kike ila sio mshkaji cz unakuwa ile thamani yako haipo yani hata simu za washkaji huoni....
Mimi dua zangu, Mama samia suruhu aendelee kubakia madarakini naamini vijana wengi watatoka kwenye hili dimbwi... Wewe kaangalie trend ya ajira alizotoa since amekuwa madarakani.. yani Mheshimiwa alimwaga ajira mpka watu wakaanza dharau za kuchagua kazi ,yani mtu anapangiwa Halmashauri anasema siendi, nasuburia nyengine ndio uone uhakika wa kazi ulivyo mkubwa, cz haiwezekani leo uletewe ugali useme huu sitaki nataka wali kama huna uhakika wa wali.
So naomba matangazo ya kazi yawe mengi kuanzia january, ili watu waombe...
Pia all in all nawaombea wote humu ,mpate kazi before mwaka 2024 kuisha... Amiiin .