Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Inaogopesha lakini hakuna jinsi,kuoa ni muhimu japo tumechelewa sana,wengi wetu wa 2016 tuko kwenye 30s.... tusipooa,tukisubiri tutazeeka Sasa.Tukiingia kazini nikuoa tu kwanza.
kwa mshahara huo ukianza kaz na ndan ya mwaka mmoja ukioa.. umaskin utakuganda kwa muda mrefu
 
Inaogopesha lakini hakuna jinsi,kuoa ni muhimu japo tumechelewa sana,wengi wetu wa 2016 tuko kwenye 30s.... tusipooa,tukisubiri tutazeeka Sasa.Tukiingia kazini nikuoa tu kwanza.
😆😆😆😆 Kuoa mkuu ni kitu muhimu sana kuna watu wanaajiriwa na tgs B na wanaoa vizuri Tu sasa tgs D dah hapo Naoa wake 2 kabisa
 
Naomba kuuliza ili uishi Atleast vizuri kidogo, unatakiwa Take home iwe angalau bei gani??
Yani mimi nisipokuwa don baada ya mwaka sijui 🤣...maana kituo changu cha kazi pale yani hapa napiga dua wasije nihamishe....Kwanza ni town ,pili kuna fursa yani ukifika tu mazingira ya pale nje unaona kabisa hawa wananchi wa hapa hawaoni fursa hapa....🤣.
Mimi mshahara ndio utakaonifanya nitoboe wakuu.. ndani ya mwaka nitakuwa nishajipata.

Yani naona kabisa , siwezi kosa gari la million 20. Ndani ya mwaka na nusu tena bila mkopo... Yani watu wa eneo lile nilipofika cz nili survey maana nimefika tu mimi nauliza nahitaji huduma fulani ...eti wananijibu sisi wote huwaga tunafata mjini ...Njieeee 🤣🤣 ,yani wananchi wa lile eneo wanakaa na fuko la hela thn wahalioni .
 
Unataka utajirike kwa mshahara😂😂 Ngoja wazoefu waje wakupe mwongozo
 
UnYataka utajirike kwa mshahara😂😂 Ngoja wazoefu waje wakupe mwongozo
Boss sio kwa mshahara ,ila pale nje kuna fursa za biashara sana tena sanaaa. Yani nikishindwa nitajilaumu sana...... Yani kwa mazingira yale umekosa sana 30 kwa siku.. yani kwa mwezi tuseme ukoseeee faida haipungui laki 5. Yani inshort nitakuwa na uwezo wa kula, kuvaa na ku pay bills bila kutegemea mshahara... Na bado nikaweka akiba ya 1M per month...cz take home yangu ni beautifully ,na.

Pia niwashukuru Board ya mikopo kwa kuninyima mkopo....nakumbuka nilishawahi enda hadi office zao na bado wakaninyima 🤣🤣, now naishi ki boss...... Yani ile laki ya kuniramba kwa mwezi wamepita kushoto 🤣
 
[emoji1787][emoji1787] Boss nakuahidi kazi utapata, hakuna connection wewe omba Mungu kapige interview yani huwezi piga interview 3 mfululizo ukakosa lazima upate... Mimi nina shuhuda rafiki zangu asilimia kubwa wamekula vitengo ,tena wao ndio walikuwa wakwanza kuingia utumishi wakawa wananiambia RAJABU kaza unatoboa...Na kweli....So hata wewe mkuu kaza unatoboa wallah.

Mimi kuanzia january Nitakuwa sichart humu sababu nitabanwa na majukumu ya kazi yangu mpya,.

Nitakuwa nafanya kazi kama punda, nitalala offcn mara moja moja[emoji1787][emoji1787]
Pia nitakuwa nakuja kuwatia moyo vijana wenzangu, cz i know ujobless sio kitu kizuri kabisa ,yani bora jobless awe mtoto wa kike ila sio mshkaji cz unakuwa ile thamani yako haipo yani hata simu za washkaji huoni....

Mimi dua zangu, Mama samia suruhu aendelee kubakia madarakini naamini vijana wengi watatoka kwenye hili dimbwi... Wewe kaangalie trend ya ajira alizotoa since amekuwa madarakani.. yani Mheshimiwa alimwaga ajira mpka watu wakaanza dharau za kuchagua kazi ,yani mtu anapangiwa Halmashauri anasema siendi, nasuburia nyengine ndio uone uhakika wa kazi ulivyo mkubwa, cz haiwezekani leo uletewe ugali useme huu sitaki nataka wali kama huna uhakika wa wali.

So naomba matangazo ya kazi yawe mengi kuanzia january, ili watu waombe...

Pia all in all nawaombea wote humu ,mpate kazi before mwaka 2024 kuisha... Amiiin .

we jamaa lower your expectations, hio kazi itakushangaza ukishazoea huo mshahara.
 
Naomba kuuliza ili uishi Atleast vizuri kidogo, unatakiwa Take home iwe angalau bei gani??
Yani mimi nisipokuwa don baada ya mwaka sijui 🤣...maana kituo changu cha kazi pale yani hapa napiga dua wasije nihamishe....Kwanza ni town ,pili kuna fursa yani ukifika tu mazingira ya pale nje unaona kabisa hawa wananchi wa hapa hawaoni fursa hapa....🤣.
Mimi mshahara ndio utakaonifanya nitoboe wakuu.. ndani ya mwaka nitakuwa nishajipata.

Yani naona kabisa , siwezi kosa gari la million 20. Ndani ya mwaka na nusu tena bila mkopo... Yani watu wa eneo lile nilipofika cz nili survey maana nimefika tu mimi nauliza nahitaji huduma fulani ...eti wananijibu sisi wote huwaga tunafata mjini ...Njieeee 🤣🤣 ,yani wananchi wa lile eneo wanakaa na fuko la hela thn wahalioni .
Ikiwezekana roga kabisa ili usihamishwe😂😂
Ikiwa angalau take home 800,000 oa tu unaweza ukayakabili maisha
 
Back
Top Bottom