Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Boss sio kwa mshahara ,ila pale nje kuna fursa za biashara sana tena sanaaa. Yani nikishindwa nitajilaumu sana...... Yani kwa mazingira yale umekosa sana 30 kwa siku.. yani kwa mwezi tuseme ukoseeee faida haipungui laki 5. Yani inshort nitakuwa na uwezo wa kula, kuvaa na ku pay bills bila kutegemea mshahara... Na bado nikaweka akiba ya 1M per month...cz take home yangu ni beautifully ,na.

Pia niwashukuru Board ya mikopo kwa kuninyima mkopo....nakumbuka nilishawahi enda hadi office zao na bado wakaninyima [emoji1787][emoji1787], now naishi ki boss...... Yani ile laki ya kuniramba kwa mwezi wamepita kushoto [emoji1787]
Boss tamba sanaaa haya maisha kipindi una hustle kusaka ajira ilikuwa zamu Yao kubonga but now umetoboa it's your turn..
 
Sasa wenye TGS B wasemeje jamani mnapo jadiri haya,Maisha hayajawahi kuwa fair,chochote unachopata ndo sitahiki yako,kuna watu hawana kabisa hata hizo TGS wanazisikia tu.

Ni kibaya ukiwa nacho,ila usipo kuwa nacho macho yatakutoka kama mjusi kabanwa na mlango,
turidhike na tunavyo vipata,
Halimashauri hakupo kuzuri kivile ila hii hali ya ujobless kitaa ni heli uende huko harimashauri ya ndani ndani huko utaweza hata kulima

Kuliko kubaki town huna mbele wala nyuma,mwili una nuka shida ,kila mtu anakukwepa ,hata simu za wana hupati.

PATA KAZI HATA YA MSHAHARA MDOGO
WATU WATAKUHEASHIMU,HATA KUKOPESHEKA UTAKOPESHEKA KWA MANGI.

Siku zote mshahara haujawahi kutosha,unapopata ajira usiache kutafuta vyanzo vingine vya kukuingizia kipato,mana kama mtaji unaweza kujichnaga mwenyewe japo kwa mda mrefu ukaanzisha chochote hata cha kukuingiza mia mbili .

UJOBLESS NI MBAYA MNO ,USIKIE KWA JIRANI TU,UNATWEZA UTU,HESHIMA INAPOTEA,UNALETA UTENGANO KWA NDUGU,UNALETA MAFARAKANO NA JAMII UNAYO ISHI NAYO .
NGUO HUWA ZINAPAUKA,SIMU NAYO INATAFUTA SABABU ZA KUTENGANA NA WEWE MARA INAKUFA SYSTEM CHARGER,AU UNASHANGAA INAIBIWA KABISA KATIKA MAZINGIRA TATANISHI,NA UKIELEZA WATU WANAKWAMBIA UMEIUZA.

HATA WAREMBO UTAWASIKI TU ,HATA UKIKUTANA NAO UWAPE SALAM HAWAITIKII.
 
Yani Nina Basic ya millioni na laki 6+. sina mkopo board.. ofisi ipo town, yani usipofunga dirisha unasikia sauti za honi za magari na brake. Alafu wewe wa Tgs D sijui E ..ile increment yako ya mwaka ...ifanye mara mbili ndio increment yangu ya mwaka.

Thn anatokea mtu anasema ooh ,sijui naniliu sijui nini🤣, yani nipate beautifully salary ya hivi thn nilalamike..Si nitakuwa mwendawazimu.
 
Ujobless m Baya Sana mkuu umeongea reality na wengi wetu umu tunapitia haya haya unayoyasema, kikubwa pata kazi Anza na Yale iliyokuwa unayoyatamani, kila mmoja ana hitaji lake ni mwendo wa kutimiza Tu yatakayofwata yatakuwa ni mengineyo
 
🤣🤣 COMMENT BORA SANA HII, wakuu pitia hali zote ila sio ujobless ...hata ndugu wanakutenga , washkaji hawapokei simu zako, mimi nitampa respect na kumsaidia mwanaume mwenzangu anaye hustlee na kumtia moyo cz naelewa jinsi nilipopita. Nilishwawahi ambiwa na ndugu yangu toka ukajitafute, uanze upya.... Hapo nahangaika na utumishi , 🤣🤣,.. Hahaha baada ya kusikia nimepata kazi kwenye mtaasisi daaah ile siku naenda kumuona anaangalia , pembeni... Nikamwambia maisha ndio yalivyo Hali ngumu haitadumu milele. Thn yeye yupo halmashauri tena alipataga enzi zile hakuna interview...

Alipokuja kuona salary scale alichoka...maana mshahara wangu wa mwezi mmoja yeye ataupata ndani ya miezi 3. Nikamwambia bro cool down... Yale yalishapita ...
 
Kwa hali ilivyokuwa ngumu, Mimi hata ningepata kazi halmashauri wakasema tunakupa TGSA ...ningekimbilia mara moja... Yani chaap kwa haraka. Nisingejiuliza mara mbili.

Ujobless unatesa.
Ujobless unadharirisha.
Ujobless unafedhehesha.
Ujobless unatweza utu.
Ujobless unakuondolea kujiamini.
Ujobless unakufanya kila siku uwe mtu wa stress.
Ujobless unakufanya uwe muongo muongo.
Ujobless unakutenganisha na marafiki na wapenzi.

##NJAA HAIMPENDEZI MTU.
 
Jamaa ana wenge sana aisee
Mkuu M 1.6+ , thn huna mkopo board thn hapo una lower expectation kwa kigezo gani?? Yani huo mshahara ni mdogo??? Aiseee....

Thn sisi tunaojifanya tumesoma actually kiuhalisia hatuna akili, niogope kuishi kwa salary hiyo?? Mimi hata hiyo TGS B still ningetamba na ningetoboa tu. Kuna jamaa wanauzaga maji barabarani na wanafamilia ... Thn mpe hiyo kazi yako ya 450,000/= kwa mwaka thn uone atakavyokuwa katoboa.

Kupata kazi Taasisi ilikuwa kama bahati, ila hata halmashauri bado ningefurahi na kutamba hivi, Wewe hapo ukiambiwa una balance hata ya 1 M kwenye account huna. Thn mnasema sijui lower your expectation mshahara utaku suprise.... Yani ujobless unitese ,nipate tena kazi mshahara unitese mimi hata 400,000/= take home isingenitesa... Ukiwa na akili hela nyingi sana hiyo, unakopea bank hadi Million 30. Na dhamana ndio hiyo laki 4 unayoonea ndogo.
 
Mtu yupo kijijini analalamika nimetupwa kijijini, sasa unajiuliza huyu mwamba amesoma shule na bado shule imeshindwa msaidia... Sawa kijijini kuna madon huko kazi yao kulima tuuu...mtu ana akiba bank hadi M 150... na ni mkulima tu darasa la saba. Na alianza na mtaji nguvu, ila wewe una mtaji pesa na hiyo TGS yako unaona ndogo nenda bank kachukue mkopo hata 10 Mill.kama 30 Mill unaona kubwa ..

Aya basi tuseme unaogopa kulima mvua hazieleweki ..( maana nyie mliosoma mnajidai mnaogopa risk ndio maana mnaishia kwenye umasikini).. sasa usilime chukua hiyo hela tafuta wakulima wakopeshe thh wakkivuna unawaambia kabisa nakupa hii laki 1 ukivuna gunia labda fulani zangu labda 5 .. na ukipiga hesabu hizo 5 ukiuza utapata laki na 75 au na 50 au whatever utakayoona wewe itakufaaa... So mtu akilima ndio hata tuseme kakosa kabisa but hawezi kukosa 0. Yani asipate hata hizo gunia za kukurudishia.

Sawa basi na hivyo hutaki, hutaki kulima hutaki kuwapa mtaji wakupe gunia...

Kaa na hela yako , wakati wa kuvuna kanunue huwaga wanauza kwa bei rahisi maana si wanavuna kwa pamoja, so mazao mengi wewe nunua kaa nayo kwa mwezi hadi miezi 3 utauza kwa bei unataka .

Bado hivyo hutaki, basi kanunue pembejeo za kilimo mbolea na mbegu, etc waje wanunue kwako kwa bei ambayo utaona ww unapata faida....

Sasa umeona hizo fursa ... Ila bado mtu mazingira eti yanataka kumkwamisha... Wakati ukichukua 10 M... Kwa mazingira ya kijijini kule ukiwa na akili Kwa mwaka faida hukosi 5 M ...yani hapo umekosa sanaa...

Sasa kwa hesabu za chini 5,0000,0000/= kwa mwaka .sawa na laki 415,000 kwa mwezi. So ni sawa una TGS nyingine hapo... Hizo hesabu ndogo kabisa... Ila unaweza ukajiboresha ukapata zaidi ya hiyo...

Sasa wewe kaa huko, halmashauri lalamika, na wakati utumishi wangekuwa wanaruhusu Jobless kama huna kazi ununue kwa mtu ambaye hataki hiyo kazi... Ungeona nyomi lake watu wanayoitaka.

+++++++++
Mimi kwenye office yangu sitaki posho, sitaki safari, sitaki kukopa bank... Kama nilikuwa naishi kwa buku 5 hata siku mbili... Sishindwi kujinyima kwa muda wa mwaka 1 ... Nikajipata.
.
 
Mkuu tunasbr ile ahadi yako...ulsema ukitulia utaeleza wadau hustle zako
 
Yani Nina Basic ya millioni na laki 6+. sina mkopo board.. ofisi ipo town, yani usipofunga dirisha unasikia sauti za honi za magari na brake. Alafu wewe wa Tgs D sijui E ..ile increment yako ya mwaka ...ifanye mara mbili ndio increment yangu ya mwaka.

Thn anatokea mtu anasema ooh ,sijui naniliu sijui nini🤣, yani nipate beautifully salary ya hivi thn nilalamike..Si nitakuwa mwendawazimu.
- kwa maelezo yako ya awali napinga kuwa ofisi iko Town, huwezi kusema umeenda eneo Kila huduma hakuna Tanzania hii? hiyo siyo mijini hiyo ni zile halmashauri za vijijini
-
 
Yani ukitaka kuangalia uhalisia mtumishi wa kijijini ana advantage kuliko wa mjini,

Mjini ulipe nauli , maji, gharama za vyakula bei juu. Gharama za kukaa chumba/nyumba bei juu etc...

So kwa hesabu zangu, mtumishi wa mjini wa TGS D.. labda .ni masikini zaidi na anaweza kosa hela ya kusave compare na wakijijini.

Turudi hapa.
1.
Kijijini hakunaga nauli, cz actually raia ni kidogo so hata usafiri wa kule ni mchache yani unaenda kwa masaa... Au kusubiria gari lijae .kwa hiyo inamlazimu mtumishi kukaa sehemu ya karibu zaidi aweze kutembea. Nimekaa kijijini so ushahidi ninao.

Mtumishi wa mjini: Asilimia 90 atatumia usafiri either apande gari/ boda.

2. Gharama za nyumba.
Kijijini nyumba ya laki ,tusemeje sijui ...ni lijumbaaa hilooo likubwaaa... Yani almost ni 30-50. Nyumba ya hadhi ya mtumishi.

But mjini ili ukae nyumba ya hadhi atleast uanzie 80 hadi 150,000/=.

Gharama za vyakula.
🤣🤣
Mjini huwezi acha elfu 5, thn ukamkuta mkeo yupo salama, hela ya kujibana home asubuhi mchana na jioni...Angalau iwe elfu 10. Unless mkeo utasaidiwa...

Sasa na wewe mchana lazima ule... Ukiwa mjini msosi wa mchana angalau uwe na elfu 3.

Ila kijijini mambo ni tofauti ... Kuna msosi hadi wa buku jero, tena unashiba haswa...

Kuna gharama za maji, mjini...tena sehemu nyengine eti hadi taka unalipia 🤣🤣...

So actually mimi ningekuwa TGS ningeomba nipelekwe kijijini kwa kweli, ili nikapunguze ukali wa maisha... Maana hiyo TGS hata wakinipanga mjini ningeishia kujisonya tu kila nikiona wanaume wenzangu wanaendesha ndinga kali... Maana kwa hiyo hela hata Samaki samaki huendi...unaenda kukaa seat gani mfano (jokes)
 
Mtu yupo kijijini analalamika nimetupwa kijijini, sasa unajiuliza huyu mwamba amesoma shule na bado shule imeshindwa msaidia... Sawa kijijini kuna madon huko kazi yao kulima tuuu...mtu ana akiba bank hadi M 150... na ni mkulima tu darasa la saba. Na alianza na mtaji nguvu, ila wewe una mtaji pesa na hiyo TGS yako unaona ndogo nenda bank kachukue mkopo hata 10 Mill.kama 30 Mill unaona kubwa ..

Aya basi tuseme unaogopa kulima mvua hazieleweki ..( maana nyie mliosoma mnajidai mnaogopa risk ndio maana mnaishia kwenye umasikini).. sasa usilime chukua hiyo hela tafuta wakulima wakopeshe thh wakkivuna unawaambia kabisa nakupa hii laki 1 ukivuna gunia labda fulani zangu labda 5 .. na ukipiga hesabu hizo 5 ukiuza utapata laki na 75 au na 50 au whatever utakayoona wewe itakufaaa... So mtu akilima ndio hata tuseme kakosa kabisa but hawezi kukosa 0. Yani asipate hata hizo gunia za kukurudishia.

Sawa basi na hivyo hutaki, hutaki kulima hutaki kuwapa mtaji wakupe gunia...

Kaa na hela yako , wakati wa kuvuna kanunue huwaga wanauza kwa bei rahisi maana si wanavuna kwa pamoja, so mazao mengi wewe nunua kaa nayo kwa mwezi hadi miezi 3 utauza kwa bei unataka .

Bado hivyo hutaki, basi kanunue pembejeo za kilimo mbolea na mbegu, etc waje wanunue kwako kwa bei ambayo utaona ww unapata faida....

Sasa umeona hizo fursa ... Ila bado mtu mazingira eti yanataka kumkwamisha... Wakati ukichukua 10 M... Kwa mazingira ya kijijini kule ukiwa na akili Kwa mwaka faida hukosi 5 M ...yani hapo umekosa sanaa...

Sasa kwa hesabu za chini 5,0000,0000/= kwa mwaka .sawa na laki 415,000 kwa mwezi. So ni sawa una TGS nyingine hapo... Hizo hesabu ndogo kabisa... Ila unaweza ukajiboresha ukapata zaidi ya hiyo...

Sasa wewe kaa huko, halmashauri lalamika, na wakati utumishi wangekuwa wanaruhusu Jobless kama huna kazi ununue kwa mtu ambaye hataki hiyo kazi... Ungeona nyomi lake watu wanayoitaka.

+++++++++
Mimi kwenye office yangu sitaki posho, sitaki safari, sitaki kukopa bank... Kama nilikuwa naishi kwa buku 5 hata siku mbili... Sishindwi kujinyima kwa muda wa mwaka 1 ... Nikajipata.
.
- umeandika mambo ya maana lakini pia umeonyesha uhalisia kuwa umepangwa halmashauri, na umepanga ukipata pesa zako za kujikimu/ salary uanze kujihusisha na kilimo
 
Mkuu,baadhi tulibahatika kulamba hiyo vijana tunaita asali,ila mazingira tuliyolamba hiyo asali imegeuka shubiri. Kuna Baadhi ya Wilaya katika hii nchi ukipangwa kwenda kufanya kazi unatamani bora ungebaki kwenu Chalinze ulime nanasi.
Rudi mkuu tulime nanasi achana huko
 
Yani ukitaka kuangalia uhalisia mtumishi wa kijijini ana advantage kuliko wa mjini,

Mjini ulipe nauli , maji, gharama za vyakula bei juu. Gharama za kukaa chumba/nyumba bei juu etc...

So kwa hesabu zangu, mtumishi wa mjini wa TGS D.. labda .ni masikini zaidi na anaweza kosa hela ya kusave compare na wakijijini.

Turudi hapa.
1.
Kijijini hakunaga nauli, cz actually raia ni kidogo so hata usafiri wa kule ni mchache yani unaenda kwa masaa... Au kusubiria gari lijae .kwa hiyo inamlazimu mtumishi kukaa sehemu ya karibu zaidi aweze kutembea. Nimekaa kijijini so ushahidi ninao.

Mtumishi wa mjini: Asilimia 90 atatumia usafiri either apande gari/ boda.

2. Gharama za nyumba.
Kijijini nyumba ya laki ,tusemeje sijui ...ni lijumbaaa hilooo likubwaaa... Yani almost ni 30-50. Nyumba ya hadhi ya mtumishi.

But mjini ili ukae nyumba ya hadhi atleast uanzie 80 hadi 150,000/=.

Gharama za vyakula.
🤣🤣
Mjini huwezi acha elfu 5, thn ukamkuta mkeo yupo salama, hela ya kujibana home asubuhi mchana na jioni...Angalau iwe elfu 10. Unless mkeo utasaidiwa...

Sasa na wewe mchana lazima ule... Ukiwa mjini msosi wa mchana angalau uwe na elfu 3.

Ila kijijini mambo ni tofauti ... Kuna msosi hadi wa buku jero, tena unashiba haswa...

Kuna gharama za maji, mjini...tena sehemu nyengine eti hadi taka unalipia 🤣🤣...

So actually mimi ningekuwa TGS ningeomba nipelekwe kijijini kwa kweli, ili nikapunguze ukali wa maisha... Maana hiyo TGS hata wakinipanga mjini ningeishia kujisonya tu kila nikiona wanaume wenzangu wanaendesha ndinga kali... Maana kwa hiyo hela hata Samaki samaki huendi...unaenda kukaa seat gani mfano (jokes)
Sawa afisa kilimo
 
Back
Top Bottom