Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Niko bomba kwenye System Administration both (windows GUI na Linux) na networking hapo labda niongezee moja Ila kwa hizo mbili naweza kukomaa na nikatoboa sio kwenye programming aisee coding nimeacha toka FYP itanipa kazi saivi kuanza kusoma languages [emoji851]
nina experience ya system administrator na security kama umeomba security hizi za mda and lga tutafutane
 
Wataalam wa ICT wa Tanzania wengi hawana uwezo, kazi nyingi zinafanywa na makampuni ya kutoka Korea kusini

Miaka ya 2002 ningesema yes, ila kipindi hili hali ni ya tofauti mno we have pontential individuals kwenye mashirika haya, real ict changes zili happen 2019, since then mambo yamebadilika. Si kote but bado lakin watafika
 
Miaka ya 2002 ningesema yes, ila kipindi hili hali ni ya tofauti mno we have pontential individuals kwenye mashirika haya, real ict changes zili happen 2019, since then mambo yamebadilika. Si kote but bado lakin watafika
miaka ya zamani kweli ila sasa hivi waTZ wenyewe wanafannya kazi za IT fresh tu hata systems kubwa kubwa wanatengeneza wazawa nenda eGa kaangalie kama kuna mkorea au mchina TRA wanaajiri madeveloper kwa ajili ya nini kama kuna wakorea sasa.
 
Kama tayari upo kazini soma kozi hizi utanishukuru baadae
1. Account
2. Procurement
3. Public health
4. Wathamini- kozi yao sijui inaitwaje
Hizo tatu za kwanza hata ukibaki halmashauri hufi njaa.
Huko Manunuzi ela ipo??
 
Huyu hana ajira, hata elimu hana huyu asiwasumbue
Una akili za makalio.
Unatuharibia Uzi tunakuangalia..

Sikia sisi jobless tunahitaji uwe mfano mzuri kama Mwifwa .

Sasa wewe umepata kazi lakini upo kibanda umiza ukibishana na sisi jobless hatujui tunaingia lini kwa system.

JIONGEZE FICHA UPUMBAVU WAKO.
 
Kavaa gauni kubwaaa kazi yangu ni kupuliza feni yenye upepo mkali nyeti zake ziwe nje, mmeshamuona sasa ni mtupu kuliko debe tupu linalovuma [emoji1787]
 
Back
Top Bottom