[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mzee una hasira sana na Utumishnyie matako shusheni pdf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mzee una hasira sana na Utumishnyie matako shusheni pdf
WAPO JUU HAPO WANAPONGEZANA KWA KUMALIZA MWAKA VIZURI, WANAZANI HATUWAJUI.nyie matako shusheni pdf
Stay humble and focusednyie matako shusheni pdf
AminaHappy New Year 2024, ni mwaka wetu sote Jobless tulioko kwenye Uzi huu tukalambe asali, Amini kwamba itakua.
Hvi ukiwa na cheti kilichoscaniwa then ukakiprint kikawa coloured wanakikataa pia ukiena interview utumishi? Nisaidia pleaseUtumishi hawanaga mzaha wakisema kiwe hivi ni hakuna mjadala utachoma nauli na hutafsnya interview
ukienda interview unatakiwa uwe na vyeti originalHvi ukiwa na cheti kilichoscaniwa then ukakiprint kikawa coloured wanakikataa pia ukiena interview utumishi? Nisaidia please
Utumishi hawana rongo rongo bila vyeti orginal interview hutafanya.Mkuu utumishi watanikubalia kuingia na cheti Cha form six nolichokiscan then nikakiprint? Nimeprint kilo coloured
wanaangalia vyeti halisi na si vyenginevyoMkuu utumishi watanikubalia kuingia na cheti Cha form six nolichokiscan then nikakiprint? Nimeprint kilo coloured
we fanya utani utoamini ukilia na kurudi kwenu bila kufanya paper. watu wanarudishwa kisa ID ya nida au kura kukosa sembuse wewe chetiHvi ukiwa na cheti kilichoscaniwa then ukakiprint kikawa coloured wanakikataa pia ukiena interview utumishi? Nisaidia please
............Heri ya mwaka mpya Jobless.
Mwaka huu uwe wa mafanikio kwenu.
NEVER GIVE UP
Shukrani kaka kwa kutukumbuka wenzio katika sala zako kaka.Habari wanajukwaa.
Nami kipekee namshukuru Mungu kwa 2023, maana safari yangu ya kusaka ndoto yangu "dream job" imetimia.
Na leo ikiwa ni Jumapili ya mwisho kwa mwaka huu, nimeshiriki ibada na kuwaombea wote mnaohitaji kufanikiwa katika safari hii mfanikiwe iwe ndani ya saa chache zilizobakia za mwaka huu au katika mwaka ujao.
Niwaombeeni kheri ya mwaka mpya wenye mafanikio na Baraka za Mwenyezi Mungu.
Acha tu ndugu yangu, tutulie tusubiri waamue wao😄Ramli zote zimegonga mwamba labda tarehe 1.1.2024 watatoa mkeka.
pole chiefHabari za jumapili Wana jukwaa
Kipekee napenda kumshukuru Mungu Kwa mwaka 2023
Japo mambo hayakwenda Kama nlivyotarajia lakini Sina Budi kumshukuru Kwa pumzi na uhai,
Ngoja nikqjaribu tena 2024[emoji17]
Asante mkuupole chief