Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wewe haupendwi humu fahamu hilo, mimi nina ajira yangu tayari na nina side hustle ambayo ni babkubwa kijana be humble, yaani juzi tuu ulikuwa unatuomba tukupe kazi za kutuwekea window computer zetu, leo una less than 2M unakuja na porojo kibao.

Umekiri kukaa 8 years bila kazi hii ilitosha wewe kuwa humble ila angalia uharo unaoandika, ni ushamba mkubwa sana.
Huyu chizi amekuchotaje? Hajapata ajira huyu
 
Masters yako haina mshahara. Subiri miaka 4 upande daraja
mbona HR alisema mwakani (mwaka huu July, 2024) nitaongezewa nyongeza mbili za mshahara kwa kuwa na masters, mim nataka kujua hizo nyongeza mbili ndo itafanya mshahara uwe sh ngap? pia akasema nikisubmit cheti cha PE baada ya miaka miwili kwenye utumishi nitakuwa Engineer I, ndo nataka kujua mshahara wa Engineer I ni ngap kwenye salary scale za PGSS?
 
Nyongeza /annual increment usipigie hesabu sana Siku hizi hadi serikali ipende kuongeza. Kwenye appointment letter wanaeleza kiwango cha mshahara na kiasi cha increment/ongezeko kwa mwaka 2%
Ukiwa na masters utapata double 4% ya basic salary kwa watumishi wote sio engineer tu.
Kuhusu cheti cha ERB na kupanda kutoka Engineer II hadi I sijui kuhusu hilo.
 
Wakuu Poleni na majukumu.

Naombeni nisaidieni juu ya changamoto hii.
1. Ninautofauti wa majina ya wazazi wangu kati ya cheti cha kuzaliwa na Taarifa za NIDA.

Mfano,
kwenye cheti cha kuzaliwa jina la Baba ni : JOHN JUMA YUSUF

Ila taarifa za NIDA jina limeandikwa ni : JOHN JUMA YUSUFU.

Na kwa upande wa Mama cheti cha kuzaliwa jina liliandikwa: MELINAS YAKOBO SENI.

Ila taarifa za NIDA jina limeandikwa ni : MERINAS SEN YAKOBO.

NOTE: ingawaje mimi majina yangu hayana shida yoyote yote yapo sawa .

2. Changamoto moto nyingne ipo kwenye sehemu ya kuzaliwa.
Mfano,
Cheti cha kuzaliwa kinasoma mahali pakuzaliwa ni Mkoa wa MWANZA, Wilaya ya MISUNGWI.

Na Taarifa za NIDA zinasomeka mahali pakuzaliwa ni Mkoa wa MWANZA, Wilaya ya NYAMAGANA.

**Sasa nauliza hizo taarifa za wazazi NA hizo za mahali pakuzaliwa haziwezi niletea shida au kuwa na changamoto wakati wa kujaza taarifa zangu kwa Mwajiri??
Na nifanyeje juu ya hilo??

Naombeni msaada wa mawazo wakuu.
Naomba kuwasilisha.
 
Nyongeza /annual increment usipigie hesabu sana Siku hizi hadi serikali ipende kuongeza. Kwenye appointment letter wanaeleza kiwango cha mshahara na kiasi cha increment/ongezeko kwa mwaka 2%
Ukiwa na masters utapata double 4% ya basic salary kwa watumishi wote sio engineer tu.
Kuhusu cheti cha ERB na kupanda kutoka Engineer II hadi I sijui kuhusu hilo.
Asante nimejifunza kitu kuhusu 2%,.. hio double increment sijasema sio kwa ajili ya watumishi wote.. nimeuliza binafsi kama engineer..
 
Wewe mtoto mshamba sana we umereport juzi mimi tayari nipo kwenye system, nikusaidie kitu ukiona wewe umepata ujue kuna akina sie tumepata zaidi yaani tupo pazuri haswaaa, tunakushangaa unashindwa kutulia umewehuka kisa tu million [emoji38].
Hahaha 😃 😃 😃 wapi huko unapoogelea kwenye dimbwi la asli kiongozi.
 
Back
Top Bottom