Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jaman tujiandae kwa kufuta mafail yanayochukua space kubwa kwenye simu zetu dalili zinaonyesha kesho kutakua na pdf lenye zaidi ya 1 terabyte.
Possibly..Naibu waziri wa utumish Mh Ridhiwan kikwete ameshatoa maelekezo... inavoonekana taasis ndo zina shda hazitoi ushrikiano kipnd cha mchakato wa ajira.

Pia ameelekeza ajira zote za taasis zinazosimamiwa na utumish ziptie PSRS
 
Katoa kauli hii lini...!!!
 
What is your current activity??

Sas jiroge useme upo upo tu hufanyi chochote mtaaani[emoji3][emoji3]hiyo taasisi si itaona inajiletea mzigo mwngne (Mtu asie mbunifu) .
Kuna mahali Mm nikamjibu HR kuwa napika maandazi na kazi ilikuwa inahusu video production
 
Utumishi hata wafanyakazi wake tu wanaringa
1. Hawapokei simu, ukituma sms hawajibu kisa wako ofisi ya Rais.
Tutakutana tu iko siku.
Wizara imejaa rushwa kama traffic police.
 
Possibly..Naibu waziri wa utumish Mh Ridhiwan kikwete ameshatoa maelekezo... inavoonekana taasis ndo zina shda hazitoi ushrikiano kipnd cha mchakato wa ajira.

Pia ameelekeza ajira zote za taasis zinazosimamiwa na utumish ziptie PSRS

Hiyo paragraph ya pili sijakuelewa hapo. Fafanua kidogo
 
Back
Top Bottom