El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
Jaman tujiandae kwa kufuta mafail yanayochukua space kubwa kwenye simu zetu dalili zinaonyesha kesho kutakua na pdf lenye zaidi ya 1 terabyte.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Possibly..Naibu waziri wa utumish Mh Ridhiwan kikwete ameshatoa maelekezo... inavoonekana taasis ndo zina shda hazitoi ushrikiano kipnd cha mchakato wa ajira.Jaman tujiandae kwa kufuta mafail yanayochukua space kubwa kwenye simu zetu dalili zinaonyesha kesho kutakua na pdf lenye zaidi ya 1 terabyte.
wanazingua kweli yan..Possibly..Naibu waziri wa utumish Mh Ridhiwan kikwete ameshatoa maelekezo... inavoonekana taasis ndo zina shda hazitoi ushrikiano kipnd cha mchakato wa ajira.
Pia ameelekeza ajira zote za taasis zinazosimamiwa na utumish ziptie PSRS
Sorry Kaka, unamuomba nani? Ataipata wapi? Akili umeshindwa kukuambia utumie Google? Humu mambo magumu kueni seriousNaombeni anuani ya african inland container depot (AFICD)
Inashangaza kwa kweli!Sorry Kaka, unamuomba nani? Ataipata wapi? Akili umeshindwa kukuambia utumie Google? Humu mambo magumu kueni serious
Si aache maana halazimishwi[emoji3]Kuna dogo kalamba asali anakula 1.9m ila analalamika kuwa ndogo
Hawa wapo pale Tazara, mchicha kama unaelekea Airport, ipo chini ya lake groupNaombeni anuani ya african inland container depot (AFICD)
Katoa kauli hii lini...!!!Possibly..Naibu waziri wa utumish Mh Ridhiwan kikwete ameshatoa maelekezo... inavoonekana taasis ndo zina shda hazitoi ushrikiano kipnd cha mchakato wa ajira.
Pia ameelekeza ajira zote za taasis zinazosimamiwa na utumish ziptie PSRS
Kuna mahali Mm nikamjibu HR kuwa napika maandazi na kazi ilikuwa inahusu video productionWhat is your current activity??
Sas jiroge useme upo upo tu hufanyi chochote mtaaani[emoji3][emoji3]hiyo taasisi si itaona inajiletea mzigo mwngne (Mtu asie mbunifu) .
Possibly..Naibu waziri wa utumish Mh Ridhiwan kikwete ameshatoa maelekezo... inavoonekana taasis ndo zina shda hazitoi ushrikiano kipnd cha mchakato wa ajira.
Pia ameelekeza ajira zote za taasis zinazosimamiwa na utumish ziptie PSRS
Huko google hakuna iyo kitu na usifikiri kila anaefika hapa kashindwa kutumia googleSorry Kaka, unamuomba nani? Ataipata wapi? Akili umeshindwa kukuambia utumie Google? Humu mambo magumu kueni serious
Duuuuuh kampuni haina maelezo yake Google? Sham companyHuko google hakuna iyo kitu na usifikiri kila anaefika hapa kashindwa kutumia google
Nenda wew google ukipata letaDuuuuuh kampuni haina maelezo yake Google? Sham company
kuna video ipo ukiingia YouTube utaionaKatoa kauli hii lini...!!!
Nenda wew google ukipata leta