PSRS tunaomba mpige back to back placements na call for interview Uzi uchangamke
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda si mrefu utafurahia, usikate tamaa
oral ulifanya liniPSRS tunaomba mpige back to back placements na call for interview Uzi uchangamke
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
jaman tutauana kwa preshakuna pdf uko
Ushakata tiketi ya kimbinyiko mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]huu mwaka hauuishi bilakulamba asali champjaman tutauana kwa presha
🤣 🤣 🤣 yaani nilkua nasuria pdf nje ya ofisi za kimbinyiko yaani wangejichanganya tu..Ushakata tiketi ya kimbinyiko mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]huu mwaka hauuishi bilakulamba asali champ
Kwahiyo umerudi home🤣 🤣 🤣 yaani nilkua nasuria pdf nje ya ofisi za kimbinyiko yaani wangejichanganya tu..
nasubiri wakianza tena kupost pdf za kada yangu naenda kuweka kambi maufuli stand paleKwahiyo umerudi home
🤣nasubiri wakianza tena kupost pdf za kada yangu naenda kuweka kambi maufuli stand pale
Ww jamaa ni fala 😂😂😂🤣 🤣🤣 watu wanashangaa jobless katika kutoa vyeti kadondosha andazi
Kitambo sana tangu mwaka janaHivi mwenye uzi, Vipi mkuu uliitwa? Kazi ulishapata?
Hivi hao waliokua wako siriously salary inaanza na ngapi?.Nikweli hata wizarani mimi mwaka niliomaliza udsm hapo kwenye kozi yetu na zilizokuwa zinaingiliana walichukua classmates kibao waliokuwa wako serious na shule GPA 3.8 and abovu. Interview walifanyia BOT
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Sasa kwa kuyajua haya yote watu bado wanahangaika na interview za Serikali za nini?. Mimi huko Serikalini nimewahi hudhururia interview Moja tu, tena nilizuiliwa kuingia kisa Sina NIDA, nikiwa na namba tu wakagoma. Tangu siku hiyo sintokuja kuhudhuria interview za utumishi, nawala sijutii kutopata kazi Serikalini. Kwanza wanalipa mishahara midogo halafu masimango wakati wa interview kama yote. Wanaona wao ndio wameshikiria maisha ya watu.Acha tu mzungu anajua kucare hawana longo longo za kikuda wala majivuno kama ma Hr wakibongo.Mbongo akiona mtu anataabika ndio roho yake inafurahi.
Sijawahi kufanya interview hata moja ila hii ya bomba la mafuta la east africa ndio imekuwa ya kwanza aloo mzungu mzungu tu.
Tulikuwa wengi tulioitwa kwenye interview almost 300 ila hata kama uko kijiji gani utalipiwa nauli hadi ufike dar kwenda na kurudi usafiri wowote utakaopenda ila usipande ndege tu[emoji3][emoji3].Hii ni kwa both oral and written.
Ukilala hotelini hata kama ni guest ya 5000 ,watakulipa 70,000 per night. Hotel tuliokuwa tukifanyia interview sasa ni seacliff [emoji3][emoji3]. Pesa ya kula 30,000
Na hapo Hotelin unakuta wamekuandalia Chai nzito vitafunwa vya kila aina, maji, chocolate,pipi yaani watakulazimisha ule hata kama hutaki utakula tu.
Hoteli ile ni kubwa ila kuanzia getini utakaribishwa kama mfalme. Kuna wale ambao kwa namna moja ama nyingine walikuwa wanashindwa kufika kwenye interview yaani utapigiwa simu wanakuuliza kama utaweza wakupangie siku nyingine. Kuna jamaa alisema siwezi kuja sababu sijajiandaa wakawa wanambebeleza njoo hivyo hivyo ujaribu bahati yako.
Maswala sijui ya kubeba mavyeti hawataki ni wewe na I'd yako yoyote. Ukimaliza interview unaenda kwa cashier anakulipa pesa zako zote ndio unasepa.
Kwenye oral interview kila mtu alikuwa amepewa saa moja kwenye venue uliopangiwa mfano ukachelewa wanam interview mwenzako aliewahi halafu wew watakuinterview baadae sio kama wabongo eti ukichelewa hata kwa bahati mbaya ndio imekula kwako na mabango juu.
Wakati wa interview sasa nilikuwa najiuliza nitaongea kizungu gani mimi na wazungu kwenye lisaa lizima wakati kizungu chenyewe sijui aloo wale jamaa wanajua kucare [emoji3][emoji3][emoji3]interview zote zingekuwa hivyo daa wakiona kuna swali unatapa tapa kujibu wanapredict unachojaribu kujibu wanakuolezea mpaka mwenyewe unasema yes yes yes ndio hiyo.
Au wakiona umechoka kidogo wanakwambia pumzika dakika tano kunywa maji Kisha tuendelee. Ambao tumepita oral interview last month tumeambiwa tutafute best private hospital yoyote iliyo kwenye mkoa uliopo Kisha tuwatumie ndio tunasubiri majibu yao twende kwenye medicals.
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Mkuu atafutae hachoki, akichoka ujue kapataSasa kwa kuyajua haya yote watu bado wanahangaika na interview za Serikali za nini?. Mimi huko Serikalini nimewahi hudhururia interview Moja tu, tena nilizuiliwa kuingia kisa Sina NIDA, nikiwa na namba tu wakagoma. Tangu siku hiyo sintokuja kuhudhuria interview za utumishi, nawala sijutii kutopata kazi Serikalini. Kwanza wanalipa mishahara midogo halafu masimango wakati wa interview kama yote. Wanaona wao ndio wameshikiria maisha ya watu.
Polen sana waku, lakini private sector nyingi wako fair kuliko Serikalini ndio maana taasisi nyingi za Serikali ni magumashi. Nimefanya interview nyingi sana na private sector wengi wao wako very positive hata kama hutopata kazi lkn utapata experience yakutosha. Mtu anaetafuta kazi Private sector probability yakupata kazi nzuri nikubwa kuliko huko Serikalini.Mkuu atafutae hachoki, akichoka ujue kapata
Lazima tudate,mm mpaka naota jmn[emoji23]Vp umeanza kudata nn
Itakuwa wanalipwa parefu mwaka mmoja tu walikuwa wamenunua magari makali balaa. Na kuanzia mwaka huo huo wakaanza kupelekwa vyuo vya njee kuchukua masters kwa awamu wengi uingereza, India na japan .Yaani ilikuwa tu ufikishe hiyo GPA hakuna baba kanituma wala nnHivi hao waliokua wako siriously salary inaanza na ngapi?.
Hata hii interview tuliyofanya government ana hisa zake nasikia ewura alitaka yeye ndio awe anasimamia maswala ya kuajiri pamoja na tpdc Mzungu akakataa wenyewe wanatumia hizi agencies kutafuta watu. Hawaangalii sijui wewe ni mtoto wa nani au status ya mtu maana jamaa kuhusu maokoto kwao sio tatizo hawana njaaSasa kwa kuyajua haya yote watu bado wanahangaika na interview za Serikali za nini?. Mimi huko Serikalini nimewahi hudhururia interview Moja tu, tena nilizuiliwa kuingia kisa Sina NIDA, nikiwa na namba tu wakagoma. Tangu siku hiyo sintokuja kuhudhuria interview za utumishi, nawala sijutii kutopata kazi Serikalini. Kwanza wanalipa mishahara midogo halafu masimango wakati wa interview kama yote. Wanaona wao ndio wameshikiria maisha ya watu.