pelius laurent
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 331
- 601
Woow hongera sana kiongozi, nakutakia utumishi mwemaMungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woow hongera sana kiongozi, nakutakia utumishi mwemaMungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
Kada gani ww nduguKada yangu kila mkeka lazima iwepo sema database yake iko Active kinyama..
Ila Haikosi iyo kada karbia mikeka yote ipo
Ila nadhani jina langu kuna siku watalikumbuka
Pambaneni leo utakosa kesho utapataHili jukwaa lilivyokua linaanza mimi ni mmoja mfuatiliaji mkubwa sana.
Nilikua private sector sijawahi ku_attend interview za utumishi.
Interview yangu ya Kwanza ilinisaidia kupata kazi.
Watu wengi huomba lakini wengi hawaendi kwenye interview za utumishi labda kama zile za taasisi kubwa kubwa.
Mchagua jembe si mkulima.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaMungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
Hongera sana mkuu!Mungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
Jamani mnao lamba asali ni kada zipi mbona sielewiMungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
Asante sana mkuu zamu yako inakujaWoow hongera sana kiongozi, nakutakia utumishi mwema
asante sana mkuu. moja kati ya watu niliokuwa nawafatilia sana kwenye huu uzi ni wewe kwa sababu haukukata tamaa licha ya kukandwa saili kadhaa lakini ulipambana na ukapata. shukrani sana mkuuHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
upande wa ICT security na system administrator karibu sana pm tubadirishane nambaKwa walopata si kwa ubaya mkatupa maswali au mbinu mlizotumia kwa uwezo wa Mungu mkafauli. Itapendeza sana
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Hongera sanaaa Kiongozi...Ninakutakia majukumu mema ya kaziMungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
Sio haba kama watakua wanatoa angalau kama hivi kila baada sku 1 au 2, kuliko hii ya kusubiria karibia ya mwezi kweupeJmn PSRS page 4 tu jmn,uwiii mtatuuua
Hongera sana mkuu, ukalitumikie taifa vyemaMungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
asante sana mkuuHongera sanaaa Kiongozi...Ninakutakia majukumu mema ya kazi
asante sana mkuuHongera sana mkuu, ukalitumikie taifa vyema
Nitakucheki ndio kada zangu izo mkuuupande wa ICT security na system administrator karibu sana pm tubadirishane namba