Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Wale wa received angalieni akunt zenu kuna shortlist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kada gani? naona wengine bado recieved ndio inasomeka...!Wale wa received angalieni akunt zenu kuna shortlist
Ngoja tusubiri pdf kwenye tovuti baadaeKada gani? naona wengine bado recieved ndio inasomeka...!
Ukisubirigi yanayosemwa utakesha saaaana!.Si kuna ajira alizosem wazir Simbachawene zitamwagwa almost elfu 44 kunzia mwezi huu mpk wa 7..so tusubir mambo ayo tuone,maana baada ya mwaka 2025 naona ngma itakua ngumu,watu washaingia madarakani apo 2026[emoji50][emoji100]
Kikubwa kufika oral mkuu😅EASTC - EXAMINATION OFFICER II-nafasi 1
Wameitwa watu 1098😁😁
Hii hatari aisee, Hapo kutoboa oral upate 100%EASTC - EXAMINATION OFFICER II-nafasi 1
Wameitwa watu 1098[emoji16][emoji16]
EASTC - EXAMINATION OFFICER II-nafasi 1
Wameitwa watu 1098[emoji16][emoji16]
Hii hatari aisee, Hapo kutoboa oral upate 100%
EASTC - EXAMINATION OFFICER II-nafasi 1
Wameitwa watu 1098[emoji16][emoji16]
😂Hii hatari aisee, Hapo kutoboa oral upate 100%
Hapo kufika oral lazima ufike top 3 maana mara nyingi japo si mara zote nafasi moja inapeleka watu 3 au 4 kwenye oral,sasa muko 1098😁😁😁 inabid uwe ndani ya top 3😁Kikubwa kufika oral mkuu😅
Kwa hiyo idadi watu wataogopa kwenda idadi itapungua kidogo.
Wanaweza kuja 50 tu.Tufanye mumebaki 500 yaani nusu ya 1000 bado parefu nafasi ni 1 tu😂
Location: DodomaWanaweza kuja 50 tu.
Mziki mnene[emoji33]EASTC - EXAMINATION OFFICER II-nafasi 1
Wameitwa watu 1098[emoji16][emoji16]
Nawatakieni maandalizi mema ya mikando iliyopo mbeleni.Wote ambao walifaulu oral watapata nafasi kwa muda wao.
PSRS wanapoita watu wengi oral huku nafasi zikiwa chache sio kwamba wanataka kuwapotezea watu muda, hapana.
Hapo inakuwa ni Advantage kwa pande zote mbili(PSRS na Jobless). PSRS wataokoa muda wa kusaili mara kwa mara kwa nafasi zile zile kwa kuweka hao akiba ili waje kuwapangia nafasi baadae. Jobless wanakuwa wanaokolewa pia kwenye ishu ya muda na gharama za kwenda kufanya usaili tena.
Kwahiyo pindi ukiitwa kwenye usaili, kuwa na malengo 2 hata kama nafasi ni 1.
Lengo la kwanza, kafanye usaili ili upatw hiyo nafasi kwa muda huo.
Lengo la pili, kafanye usaili ili ubaki database endapo lengo la kwanza likikwama. Kukaa database ni ushindi kulinganisha na yule aliyeogopa kwenda kufanya kisa nafasi ni 1 na akaamua kutoenda ili asipoteze muda na pesa.
Mimi nilijiwekea hayo malengo 2 hasa lengo la pili baada ya kukandwa saili za mwanzo(saili 3). Bahati nzuri nikaangukia kwenye lengo la kwanza, pia hata kama ningekwama kwenye lengo la kwanza ningekuwa nishatimiza lengo la pili hadi sasa maana tayari kundi letu lote tushapangiwa kazi