Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongereni nyote mliofanikiwa kupata kazi. Jamani sisemi kwa ubaya wala nn,sawa am grateful nshaingia kune system ila ukweli usemwe jaman Halmashauri ni pagumuuuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],tena nahisi Halmashauri nyingine zina afadhali huku kwangu ni balaa jamani. Yani hata kuwezeshwa kufanya kazi zao hakunaaa ni balaa.
Acheni tu watu wapakimbie[emoji23][emoji119]
Jaribu kuanza taratibu za kuhama uende sehemu nyingine(halmashauri nyingine).

Huo mchakato sio rahisi ila ukikomaa unaweza kuhama.

Subiri uthibitishwe kwanza kazini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unyama mwingi sana hahhhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] then unaenda kuipark pale inatazama ufukwe ili ipate mzunguko mwanana wa hewa
 
Back
Top Bottom