mamaqqqq mpaka mtendaji ni boss?😂😂😂salary to salary, mwenyekiti wa chama ni boss wako,mtendaji,diwani nk ni boss wako.
kwanza niulize hela ya kujikimu umelipwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mamaqqqq mpaka mtendaji ni boss?😂😂😂salary to salary, mwenyekiti wa chama ni boss wako,mtendaji,diwani nk ni boss wako.
kwanza niulize hela ya kujikimu umelipwa.
itokee wapii,mfano mm navuta salary advance hapo hapo!😂😂😂😂Poleni aseeh lakini extra duty si ipo?
wanangu ambao hampo halmashauri hongereni sana!mamaqqqq mpaka mtendaji ni boss?😂😂😂
Jobless wanapoomba kazi wasisahau pia kuomba Mungu wapate taasisi halmashauri ni kwa moto.wanangu ambao hampo halmashauri hongereni sana!
Hatupo Halmashauri,wanangu ambao hampo halmashauri hongereni sana!
😂😂😂mtafika mbinguni kweli?itokee wapii,mfano mm navuta salary advance hapo hapo!
Mshahara wenyewe TGS D 765,000😂😂😂mtafika mbinguni kweli?
Wee jamaa naona umerudi baada ya kuvuta subaru😂😂😂😂😂😂mtafika mbinguni kweli?
Nipo mkuu, karibuMkuu mwifwa nakutafta inbox
Jaribu kuanza taratibu za kuhama uende sehemu nyingine(halmashauri nyingine).Hongereni nyote mliofanikiwa kupata kazi. Jamani sisemi kwa ubaya wala nn,sawa am grateful nshaingia kune system ila ukweli usemwe jaman Halmashauri ni pagumuuuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],tena nahisi Halmashauri nyingine zina afadhali huku kwangu ni balaa jamani. Yani hata kuwezeshwa kufanya kazi zao hakunaaa ni balaa.
Acheni tu watu wapakimbie[emoji23][emoji119]
mtapata tu,mi mwenyewe njaa ilinichapa sana.Hatupo Halmashauri,
Hatupo kwenye Taasisi,
Hatupo wizarani,
Na hatujui Kama tupo DATABASE pia.
hapo unaishi kama ngamia mzee kunywa maji mengiii😂😂😂Mshahara wenyewe TGS D 765,000
Wakikata vyote +HESLB
NET AMOUNT 519,000.00
NI huzuni kwa kweli😅😅
daah sio poah chiefJobless wanapoomba kazi wasisahau pia kuomba Mungu wapate taasisi halmashauri ni kwa moto.
Kuna harrier new model ni balaa😂😂😂😂hiyo ukipita kila mtu anakuangaliaWee jamaa naona umerudi baada ya kuvuta subaru😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna harrier new model ni balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ukipita kila mtu anakuangalia
😂😂😂mzee uhai upo tu sema hiyo Ngoma ukipita nayo lazima wakuite freemason😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikubwa uhai tu
Usiache kuwapa wana lift pindi unapoelekea kwenye Linac[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]mzee uhai upo tu sema hiyo Ngoma ukipita nayo lazima wakuite freemason[emoji23]
😂😂😂😂Unyama mwingi sana hahhhhUsiache kuwapa wana lift pindi unapoelekea kwenye Linac[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] then unaenda kuipark pale inatazama ufukwe ili ipate mzunguko mwanana wa hewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unyama mwingi sana hahhhh