The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Majobless tunajiandaa kwenda kupumzisha mafuvu tukiwa hoi kwa matumaini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapata mkuu ulipiga usail kada gani?Tunaona bora jana kuliko leo......
Benchi linatupa uti wa mgongo na stress nying
Masiharamasihara ila ndio hvyo siku hizi ajira ni kimyakimya nyny subirini za halmashauri ya Nyang'hwale
Mammluki wapo hata humu wanakujaga kucomments na kutoa matumaini ya uongo na kweli alafu wanapotea.Amna mzee lazma watatoa PSRS wako fair sana.
Eeh ndo kazi iliyobaki,watoe tu mikeka iyo watakaobahatika waenjoyKumekucha kuanza kuchungulia web ya utumishi
Acha tuEeh ndo kazi iliyobaki,watoe tu mikeka iyo watakaobahatika waenjoy
ni ujinga ujinga tu kurushana roho..Hivi no placements no interviews utumishi wapo busy na nini??
Oral umeshafanya?TAKUKURU LINI WATATOA WALIO FAULU
JUST WALIO FAULU WRITTEN . MAAna nilikuwa nje ya mtandao kwa muda hivi
hayo matokeo watu hawakuyazungumzia kabisa yaani kimyakimya. 🤣 🤣
Sio poa mzee huo mchinjo ni hatareehayo matokeo watu hawakuyazungumzia kabisa yaani kimyakimya. [emoji1787] [emoji1787]
🤣 🤣