Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ile nilijibu chapu sana.. maswali yote tuliscuss pale nje na yule dada bonge.
Lakini Ile kazi hukupata na yule dada bonge pia hakupata nafikiri ulikuwa panel moja na Mimi maake Mimi pia nilikuwa panel moja na yule dada
 
😁😁😁 huna Imani nao mkuu?
Iman ninayo kubwa sanaaa...sema michezo wanayocheza na Taasisi inanivunja moyo sanaaa......
Ukikuta ufafanuzi wanaotoa kwa mteja ukienda kwenye mabanda yao ya maonyesho jobless unaona Yes" tumepata ila ukiingia kwenye ligi yao utaona kabisa hapa kocha hatuna....
 
Nashindwa kuelewa

Mwaka huu Februari nilifanya interview ya TBC ya photojournalist nikafika mpaka oral ila kwenye pdf nikachinjwa.

Leo wametoa kazi afu kuna mahali nafit kama ilivyo mara ya kwanza kwenye interview ya photojournalist na qualifications ni zile zile ambazo nilifanyia interview.

Kwahy inamaana kuwa nilifeli oral?
Sawa kwahy inamaana wngn wote tulifeli hvy hakuna aliyekuwa kwenye kanzidata ili apangiwe kwenye hii kazi iliyotoka leo?
Dah h system ya ajira Portal sijui ipoje, naomba kazi hapa ya TBC ya assistant producer yenye vigezo sawa na interview ya mwezi wa pili niliyofanya lakin inanigomea.

Sasa nilichofanya n kuweka diploma tofauti na ambayo nimesomea ila kwa kutumia chet kilele ambacho nilifanyia interview ya Februari naona inakubali kuomba.
Yn n kwamba, nna diploma in Film production na kwenye post wameiweka ila inakataa kuapply sasa nimeweka diploma in arts design Ila Kwa kutumia Cheti cha diploma in Film production.

Vp h haitoniletea shida wakuu?
 
wasije wakakwambia not relavant certificate
 
Kama haina shida apo maana wameilist wenyewe uzuri written ni mahali ulipo maana naskia watu walikua wanafika dom wanaambiwaa et umedanganya system
 
Ronjaaaaa za uhakika hakuna umu🤣🤣yani hakuna ata mwenye mjomba wake atudokezeee za ndaniii
 
Back
Top Bottom