Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Kumbe ulimaanisha kanuni😀 hizi watu tunazo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ulimaanisha kanuni😀 hizi watu tunazo mkuu
😁😁😁 huna Imani nao mkuu?Kama Bunge linapitisha sheria na kanuni za Taasisi kusimamia zinavunjwa...Sembuse hao wanatunga wao...
Mama kama Mama afanye jambo vijana wake tupunguze stress za kitaa
Lakini Ile kazi hukupata na yule dada bonge pia hakupata nafikiri ulikuwa panel moja na Mimi maake Mimi pia nilikuwa panel moja na yule dadaIle nilijibu chapu sana.. maswali yote tuliscuss pale nje na yule dada bonge.
Tutapata tu mkuu...jamani majobless wenzangu hivi tutapata kazi kweli utumishi kwa staili hii..????
Iman ninayo kubwa sanaaa...sema michezo wanayocheza na Taasisi inanivunja moyo sanaaa......😁😁😁 huna Imani nao mkuu?
Daah hali ni mbaya mkuu,tujipe tu moyojamani majobless wenzangu hivi tutapata kazi kweli utumishi kwa staili hii..?
Dah h system ya ajira Portal sijui ipoje, naomba kazi hapa ya TBC ya assistant producer yenye vigezo sawa na interview ya mwezi wa pili niliyofanya lakin inanigomea.Nashindwa kuelewa
Mwaka huu Februari nilifanya interview ya TBC ya photojournalist nikafika mpaka oral ila kwenye pdf nikachinjwa.
Leo wametoa kazi afu kuna mahali nafit kama ilivyo mara ya kwanza kwenye interview ya photojournalist na qualifications ni zile zile ambazo nilifanyia interview.
Kwahy inamaana kuwa nilifeli oral?
Sawa kwahy inamaana wngn wote tulifeli hvy hakuna aliyekuwa kwenye kanzidata ili apangiwe kwenye hii kazi iliyotoka leo?
wasije wakakwambia not relavant certificateDah h system ya ajira Portal sijui ipoje, naomba kazi hapa ya TBC ya assistant producer yenye vigezo sawa na interview ya mwezi wa pili niliyofanya lakin inanigomea.
Sasa nilichofanya n kuweka diploma tofauti na ambayo nimesomea ila kwa kutumia chet kilele ambacho nilifanyia interview ya Februari naona inakubali kuomba.
Yn n kwamba, nna diploma in Film production na kwenye post wameiweka ila inakataa kuapply sasa nimeweka diploma in arts design Ila Kwa kutumia Cheti cha diploma in Film production.
Vp h haitoniletea shida wakuu?
Ndo nawaza hapa, sasa cjui nifanye nnwasije wakakwambia not relavant certificate
kama ilishawahi kukubali we jaribu jaribu kidogo kama siku 4 hivi ikizingua fanya ivo.labda ni system tu..Ndo nawaza hapa, sasa cjui nifanye nn
Kama haina shida apo maana wameilist wenyewe uzuri written ni mahali ulipo maana naskia watu walikua wanafika dom wanaambiwaa et umedanganya systemDah h system ya ajira Portal sijui ipoje, naomba kazi hapa ya TBC ya assistant producer yenye vigezo sawa na interview ya mwezi wa pili niliyofanya lakin inanigomea.
Sasa nilichofanya n kuweka diploma tofauti na ambayo nimesomea ila kwa kutumia chet kilele ambacho nilifanyia interview ya Februari naona inakubali kuomba.
Yn n kwamba, nna diploma in Film production na kwenye post wameiweka ila inakataa kuapply sasa nimeweka diploma in arts design Ila Kwa kutumia Cheti cha diploma in Film production.
Vp h haitoniletea shida wakuu?
Boss vp mida hii tuwe live au tuzime tu data?kama ilishawahi kukubali we jaribu jaribu kidogo kama siku 4 hivi ikizingua fanya ivo.labda ni system tu..
we pinacoladee nani alifika dom akaambiwa kadanganya system huyo dahh nimecheka hatarMjomba kantuma saivi wako za TRA tuliobaki ss iv ndo jobless wenyew😫
tuwe live tu huwez jua.Boss vp mida hii tuwe live au tuzime tu data?
Eeh si mambo ya kubadili pale ili uitwe kwenye interview akaambiwa umedanganya system fani yako haihusukiwe pinacoladee nani alifika dom akaambiwa kadanganya system huyo dahh nimecheka hatar
🤣 🤣 duh ikawaje sasa kumbe kudanganya mfumo na kwenyewe kuna madharaEeh si mambo ya kubadili pale ili uitwe kwenye interview akaambiwa umedanganya system fani yako haihusuki