Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakufanya interview si kadanganya system akarud,kwan wana huruma na jobless wale wangekua nayo ata chembe wangetutetea lakin ndo kwanza wanachochea kuchelewa kwa placement🤣 🤣 duh ikawaje sasa kumbe kudanganya mfumo na kwenyewe kuna madhara
Daah kumbe ni saini yake tu ndo inacheleweshaKatibu alibanwa sana mwezi huu hajasaini placement letter nyingi ....week ijayo ana authorize tu...
🤣 🤣 🤣 itakua kashaacha uongoHakufanya interview si kadanganya system akarud,kwan wana huruma na jobless wale wangekua nayo ata chembe wangetutetea lakin ndo kwanza wanachochea kuchelewa kwa placement
Sisi wabongo tuna shida aiseee apa angekua mzungu mambo yangeenda chapKatibu alibanwa sana mwezi huu hajasaini placement letter nyingi ....week ijayo ana authorize tu...
🤣🤣tunaforce sanaa🤣 🤣 🤣 itakua kashaacha uongo
Yani hujapata kazi ila tayari umeanza kumpangia mwajiri utaratibu!Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendele
Tumtangulize Mungu wadau, vita ni vikaliSema kwenye taasisi kuna intern wengi, na wote wanasubir kuajiriwa...
Kuna issue zinatokea kwamba unakuta maboss wawil au watatu kila mmoja anataka mtu wake ndio apate, bas hapo hiyo nafas wanaitupa psrs....
Unafanya kazi wapi mkuu???Yani hujapata kazi ila tayari umeanza kumpangia mwajiri utaratibu!
Nauza maji hapa Buguruni, kwani vipi?Unafanya kazi wapi mkuu???
j2 wakandaji wanatubu zambi..Wanafungaje mwezi bila pdf nzito,daah wanatuacha kinyonge kweli,j2 nayo sku izi inakua ndefu...kinyongee sanaaaa😪
Nilidhan usalama mkuu🤣Nauza maji hapa Buguruni, kwani vipi?
tusije tukapelekwa arusha then kataviNilidhan usalama mkuu🤣
🤣🤣🤣, kwa nini ukafikiri hivi?Nilidhan usalama mkuu🤣
Duh tusbr July Sasa mamb yatakuwa mazur.Wanafungaje mwezi bila pdf nzito,daah wanatuacha kinyonge kweli,j2 nayo sku izi inakua ndefu...kinyongee sanaaaa😪
🤣🤣🤣🤣fa mchezo nntusije tukapelekwa arusha then katavi
Bado najipenda mkuu🤣🤣🤣🤣, kwa nini ukafikiri hivi?
InshaAllah,ukawe mwezi wa kheri kwetuDuh tusbr July Sasa mamb yatakuwa mazur.