Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Katibu alibanwa sana mwezi huu hajasaini placement letter nyingi ....week ijayo ana authorize tu...
 
🤣 🤣 duh ikawaje sasa kumbe kudanganya mfumo na kwenyewe kuna madhara
Hakufanya interview si kadanganya system akarud,kwan wana huruma na jobless wale wangekua nayo ata chembe wangetutetea lakin ndo kwanza wanachochea kuchelewa kwa placement
 
Sema kwenye taasisi kuna intern wengi, na wote wanasubir kuajiriwa...
Kuna issue zinatokea kwamba unakuta maboss wawil au watatu kila mmoja anataka mtu wake ndio apate, bas hapo hiyo nafas wanaitupa psrs....
 
Wanafungaje mwezi bila pdf nzito,daah wanatuacha kinyonge kweli,j2 nayo sku izi inakua ndefu...kinyongee sanaaaa😪
 
Back
Top Bottom