No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Mkuu tunajipa moyo tuIka mwezi huu pdf zitakuwa nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tunajipa moyo tuIka mwezi huu pdf zitakuwa nyingi
Wanapachikana kama haijui nikwambie.mimi naamini kuna shida utumishi, huwezi kutangaza nafas 5 alafu ukaita watu wawili...
Ilitakiwa uite 5 alafu wanaobaki ndio database...
Salama kabisa kakaTypo poa kaka za siku nyingii
Mkuu izo connection na ss tunaomba🤣Kesho kuna pdf wakuu
Jinsi waliopata check no wanavyosalimiana😂Salama kabisa kaka
Bhna bhnaaa mbn adi leo tar 5 wanambwela mbwela ilitakiwa adi leo tuna pdf kama 3 iviIka mwezi huu pdf zitakuwa nyingi
Amen na iwe hivyoIka mwezi huu pdf zitakuwa nyingi
Mambo mazuri mwezi huu yanakuja ..Kaa kwa kutuliaBhna bhnaaa mbn adi leo tar 5 wanambwela mbwela ilitakiwa adi leo tuna pdf kama 3 iv
nimeweka gb 1 hapa kila baada ya sekunde na loginKesho kuna pdf wakuu
Asante kwa ushauri...ubarikiweHabarini hope mko poa, ningependa niwatie moyo wenzangu ambao bado hamjafanikiwa kupata ajira kuwa wakati wa Mungu ni wakati sahihi, nimefuatilia uzi huu uzi tangu mwaka 2022 nikiwa sina ajira ila kupitia shuhuda za wadau humu nikajitia moyo kuwa namimi nitatoboa, mwaka 2023 nikafanikiwa kufanya interview ambayo ndio ilionipatia kazi na sasa nimesahau machungu ya nilopitia.
Ushauri wangu, usiache kufanya interview yoyote hata iwe na post moja, Jiandae vizuri huku ukimtanguliza Mungu pia, finally kuwa na subra kwani huwezi kujua kwanini mwingine amepata wewe umekosa.
Asanteni.
Maneno haya tumeyasikia sana tumeyachoka!Habarini hope mko poa, ningependa niwatie moyo wenzangu ambao bado hamjafanikiwa kupata ajira kuwa wakati wa Mungu ni wakati sahihi, nimefuatilia uzi huu uzi tangu mwaka 2022 nikiwa sina ajira ila kupitia shuhuda za wadau humu nikajitia moyo kuwa namimi nitatoboa, mwaka 2023 nikafanikiwa kufanya interview ambayo ndio ilionipatia kazi na sasa nimesahau machungu ya nilopitia.
Ushauri wangu, usiache kufanya interview yoyote hata iwe na post moja, Jiandae vizuri huku ukimtanguliza Mungu pia, finally kuwa na subra kwani huwezi kujua kwanini mwingine amepata wewe umekosa.
Asanteni.
Kua na subira nasi tuliishi sana kwenye huu uzi 😂😂😂Jinsi waliopata check no wanavyosalimiana😂
😪😪😥😥 hizi faraja.....Habarini hope mko poa, ningependa niwatie moyo wenzangu ambao bado hamjafanikiwa kupata ajira kuwa wakati wa Mungu ni wakati sahihi, nimefuatilia uzi huu uzi tangu mwaka 2022 nikiwa sina ajira ila kupitia shuhuda za wadau humu nikajitia moyo kuwa namimi nitatoboa, mwaka 2023 nikafanikiwa kufanya interview ambayo ndio ilionipatia kazi na sasa nimesahau machungu ya nilopitia.
Ushauri wangu, usiache kufanya interview yoyote hata iwe na post moja, Jiandae vizuri huku ukimtanguliza Mungu pia, finally kuwa na subra kwani huwezi kujua kwanini mwingine amepata wewe umekosa.
Asanteni.
Kisu kikali sana...Shwaaaa
Noma aseeKisu kikali sana...
Yule IT wa zaman hayupo hakika...maana huyu anaroho mbaya...ata pdf anatoa jion sana tena page moja😪😪😥😥 hizi faraja.....
Utumishi hii roho mmeaza lini...
Inamaa hamtuoni mateso tunayopita jobless tusio na connection....
Msenge tu.Yule IT wa zaman hayupo hakika...maana huyu anaroho mbaya...ata pdf anatoa jion sana tena page moja