Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sasa wao si hukohuko hospital za halmashaur ndio wanajitolea uko
Watulie wakubali changes..wenyewe wanamrefer yle mzee Charles Darwin sasa tunataka tuone wana uwezo wa kuadapt aya mazingira mapya si wafanye tu interview wakawaonyeshe PSRS jinsi walivyo competent wawakande PSRS washazoeaa kutuonea kada nyingine sasa ni mwendo wa 90 to 100 🤣
 
Back
Top Bottom