Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Hivi wanavyotangaza ajira mpya na database haijaisha uwa wanamaanisha kwamba watu wote wamefeli oral au ni maamuzi yaosasa watu wamechanical bado wanaitwa interview si ukatili wa kisaikolojia huu.. [emoji1787] [emoji1787]