Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hakuna hiyo mkuu sooon nenda rud za wasimamizi ni gharama zaid hiii itakuwa weka tuweke

Ila kodi za wananchi zinatumika aisee per diem mmoja anaweza kukunja 600k je wapo wangapi mikoa yote 20+ kwa mantiki ipi??

Hiii tume wangeweka utaratibu at list kuomba ajira mtu alipie 10k kwa ajila taasisi ipate kujiendesha!! Kama tunavyo omba chuo kujiunga.
Duh fikiria basi before ya hii msg yako, mantiki hiyo mlala hoi na wasaka ajira watakuwa kila kitu wanalipia katika nchi(Taifa) lao pendwa maana tunajua hata hizo kodi mlipaji ni mnunuaji biadhaa ya wisho final consumer, ivi unafikili mtengenezaji au muuzaji wa bidhaa ndo analipia kodi?. Ni kweli sawa mashine ya kodi iko kwa muzaji bidhaa ila kaa ukijua kwamba final consumer ndo mlipa kodi maana muzaji ama mtengenezaji lazima itaongeza price kufidia kila kinacho daiwa kuwa ni kodi kwa final consumer, acha sisi walala hoi nao basi tufaidi uzuri wa Taifa letu😂😁
 
H
Naona wamefunga Portal leo, wamehisi kuna watu wanaweza kujipangia vituo au...
Mpk wamefunga portal sijui tu uko vilio baada ya paper
Hapo walicho kifanya ni kupunguza namba ya visiter(user) kwa siku ya Leo maana hata hivyo mfumo wa online attitude test uko ndani ya mfumo mkubwa wa ajira portal na ni temporary unapatika kipindi cha usahili kwa aliye changuliwa kufanya usahili tu ndo kwa hiyo siku unapatika, huenda kwakuwa idadi ya wasailiwa kuwa ni kubwa ndo maana wameamua kuzuia wadau wengine kuto ingia ajira portal “system under maintenance”
 
Duh fikiria basi kabura ya hii msg yako, mantiki hiyo mlala hoi na wasaka ajira watakuwa kila kitu wanalipia katika nchi(Taifa) lao pendwa maana tunajua hata hizo kodi mlipaji ni mnunuaji biadhaa ya wisho final consumer, ivi unafikili mtengenezaji au muuzaji wa bidhaa ndo analipia kodi?. Ni kweli sawa mashine ya kodi iko kwa muzaji bidhaa ila kaa ukijua kwamba final consumer ndo mlipa kodi maana muzaji ama mtengenezaji lazima itaongeza price kufidia kila kinacho daiwa kuwa ni kodi kwa final consumer, acha sisi walala hoi nao basi tufaidi uzuri wa Taifa letu😂😁
Mkuu kwanz itapunguza applicants mkuu
 
Vyuoni ukiomba sawa unatoa pesa ya maombi ila kupata probability yake ni kubwa na hakuna kufanya interview, Sasa ajira utalipia Mala ngapi ndugu kila ukikosa utalipia!, Unataka watu walogane kwa manung’uniko 😁😁
 
Hakuna hiyo mkuu sooon nenda rud za wasimamizi ni gharama zaid hiii itakuwa weka tuweke

Ila kodi za wananchi zinatumika aisee per diem mmoja anaweza kukunja 600k je wapo wangapi mikoa yote 20+ kwa mantiki ipi??

Hiii tume wangeweka utaratibu at list kuomba ajira mtu alipie 10k kwa ajila taasisi ipate kujiendesha!! Kama tunavyo omba chuo kujiunga.
Kwahy kodi za wananchi zinalika kwenye perdiem za interview tuu, ila wapigaji wa kodi kwa manufaa yao binafsi huwaoni?
Umetoa hoja ya kifala sana mzee wangu.
 
Wakuu mimi tangu jana niki log in Ajira portal haifunguki hii inakuaje inasema page not available[emoji15]
 
Hongereni mnaofuatilia huu uzi, nina imani hamna atakayekosa usahili kwa kosa dogo kama anafuatilia uzi ipasavyo.

Tangu nianze kuifutilia PSRS, kipindi hiki ndio wametangaza sana maelekezo ya usahili kwa njia mbalimbali kuliko wakati wowote ule.

Wametumia mitandao ya kijamii kama WhatsApp, Facebook, Instagram, X(Twitter) mbayo wabongo wanaitumia kwa wingi kutangaza maelekezo ya kufuata
 
Sisi Wabongo jinsi tulivyo, Usishangae na waalimu nao wakaja na hizi hizi vilio vya sasa vya watu wa afya, yn wote wakawa na same cases, wakati waalimu wako humu na wanaona yanayoendelea kwa watu wa afya.
 
Mimi huwa nashauri siku zote, mtu akifika form three ndo aanze kufuatilia mambo ya Ajira, na hii naona itamjenga sana hasa kwenye soko la Ajira🤔Yaani atajua kada zipi zinatoa sana nafasi za kazi kwa wingi Kwahiyo mpaka anamaliza four, anakua anaelewa kipi akisomee🤗
 
Mkandaji mkuu huyu hapa kutoka Jengo Jeupe.

Bomani kakaimu sana hii nafasi halafu haijamtosha
Screenshot_20240902-204634.jpg
 
Back
Top Bottom