Duh fikiria basi before ya hii msg yako, mantiki hiyo mlala hoi na wasaka ajira watakuwa kila kitu wanalipia katika nchi(Taifa) lao pendwa maana tunajua hata hizo kodi mlipaji ni mnunuaji biadhaa ya wisho final consumer, ivi unafikili mtengenezaji au muuzaji wa bidhaa ndo analipia kodi?. Ni kweli sawa mashine ya kodi iko kwa muzaji bidhaa ila kaa ukijua kwamba final consumer ndo mlipa kodi maana muzaji ama mtengenezaji lazima itaongeza price kufidia kila kinacho daiwa kuwa ni kodi kwa final consumer, acha sisi walala hoi nao basi tufaidi uzuri wa Taifa letu😂😁Hakuna hiyo mkuu sooon nenda rud za wasimamizi ni gharama zaid hiii itakuwa weka tuweke
Ila kodi za wananchi zinatumika aisee per diem mmoja anaweza kukunja 600k je wapo wangapi mikoa yote 20+ kwa mantiki ipi??
Hiii tume wangeweka utaratibu at list kuomba ajira mtu alipie 10k kwa ajila taasisi ipate kujiendesha!! Kama tunavyo omba chuo kujiunga.