Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utumishi wakitembea kwa upepo huu kama wezao......
Vijana tunarudisha matumain juu ya Taifa letu...
Mungu awasimamie PSRS
 

Attachments

  • IMG_20240924_103604.jpg
    IMG_20240924_103604.jpg
    125.7 KB · Views: 5
Kuwa na subira. Wenzako tupo hapa tunasikilizia mwaka unaisha, wewe wiki mbili tu unataka kulamba asali. Kuwa mvumilivu
Neno kubwa mkuu tuwe wapole tu, na wasiwe wanasema kwenye pannel kwamba ndani ya week 1 au 2 itakuwa tayari, pitia mara kwa mara account😅
 
Back
Top Bottom