Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mwambie huyo dogo tatizo hawa vijana wanafikiri wanachat na watoto wenzao humu
Laiti wangejua humu kuna watu wakubwa kuna viongoz wao wangekuwa na nidhamu sana haya maisha bila kufahamiana na watu hutoboi hata kama ukipata ajira kuna mambo yako hayataenda kama huna nidhamu na kuheshimu watu

Mtu hamjuani unamtukana kumbe ni Boss wako
Wewe fala usitake mtu akuheshimu.

Kwani utumishi si tunafanya saili Kwa uwazi,usawa na haki.

Sasa mbona kama unaleta viashiria vya Rushwa ili tukufuate.

Kima wa blue.
 
ila kuna watu wa ovyo humu hata kama ukiwa utumishi (psrs) ndo ujitangaze na kutisha watu, kwani jamani kinacho mpa mtu ajira ni nn juhudi zake binafsi( interview) au mkono wa mtu?, kimantiki harari najua ni juhudi za mtu, pia hata kama ni connection huwa haziji kivi kama ninavyo ona msg za watu humu, jikubali na jiamini ipo siku kila mtu atamuona kwa mkono wa Mungu
 
Wewe umemaliza,kutishana tu
 
Ma jobless mmeanza kutukana ndio maana hata hizi ajira zimechelewa
Acheni kuwaogopa hao viazi wanaojifanya wanatoa misaada.

Msaada uko katika bwana aliyeziumba mbingu na nchi.

Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na amfanyae kinga yake.

Zab 23 BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.

Wafilipi 4;13.Naweza kufanya mambo yote katika yeye anipaye nguvu

Zab 56;11

Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini?
 
ila kuna watu wa ovyo humu hata kama ukiwa utumishi (psrs) ndo ujitangaze na kutisha watu, kwani jamani kinacho mpa mtu ajira ni nn juhudi zake binafsi( interview) au mkono wa mtu?, kimantiki harari najua ni juhudi za mtu, pia hata kama ni connection huwa haziji kivi kama ninavyo ona msg za watu humu, jikubali na jiamini ipo siku kila mtu atamuona kwa mkono wa Mungu
Asante kaka HAKI ZOTE ZIMWIFADHIWA
 
Back
Top Bottom