Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nasubiria chai ya TCRA pale chini kwenye bufee ingawa nao awataki kutuita interview sijui wanasubiri watuite pamoja na eGA.

Na wakifanya ivyo iyo siku utaambia chagua sehemu moja ya kufanya kama ni eGA au TCRA.

Hapo kwenye kuchagua lazima mtu uchanganykiwe
Hizo zote asali grade one popote utakapoenda una uhakika wa kutoka na kisukari😂😂
 
Nasubiria chai ya TCRA pale chini kwenye bufee ingawa nao awataki kutuita interview sijui wanasubiri watuite pamoja na eGA.

Na wakifanya ivyo iyo siku utaambia chagua sehemu moja ya kufanya kama ni eGA au TCRA.

Hapo kwenye kuchagua lazima mtu uchanganykiwe
Zitakuwa siku tofauti inshallah
 
Nasubiria chai ya TCRA pale chini kwenye bufee ingawa nao awataki kutuita interview sijui wanasubiri watuite pamoja na eGA.

Na wakifanya ivyo iyo siku utaambia chagua sehemu moja ya kufanya kama ni eGA au TCRA.

Hapo kwenye kuchagua lazima mtu uchanganykiwe
Sasa hapo unaambiwa tu kuchagua usaili sio kazi unachanganyikiwa mtaalamu wa TEHAMA. Umenikumbusha hadithi ya fisi aliyekuwa anavizia misosi kwenye hafla mbili tofauti mwishowe akaambulia kappa. Best wishes, Hata sisi wengine kazi zetu hatujui tutaitwa lini usaili. Dah!
 
Ni kweli hapo utaambiwa uchague usaili.

eGA siwajui vizuri ila TCRA kuna siku walikua na semina kwa kampuni zinazofanya kazi za IT ofn kwangu wakanichagua nikawakilishe, daah! Wale jamaa wana good life sana aisee, kila unae kutana nae ana ng'aa 😂😂.
 
"Afisa Tehama TCRA kuna asali wa nyuki wakubwa" although eGA na TAA nao sio wakuwachukulia poa. Vipi TCRA na eGA umeomba category ipi mkuu
 
Kwa neema za Mungu utafikiwa tu bro na utapanda zako kimbinyiko chap kufata Ile barua ambayo chini inamalizia "Tafadhali mpokee na kukamilisha taratibu za ajira yake"

Sitotaka kulala na iyo barua, vibaka wasije wakanivamia ikapotea, yaan siku iyo iyo naipeleka sehemu husika, kama ni usiku naenda usiku huo huo watanikuta nje ya geti asubuhi niko n barua yangu na uku nikiwa nime i scan na kuipiga colored coppy za kutosha😂😂😂.
 
Back
Top Bottom