Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Acha tu kaka wa umeme wote tulipasuka mule
Mhh! ,DSP lile module si la mchezo mchezo ,nakumbuka chuo karibia darasa zima tulikula supplementaries ,na likifundishwa na professor mmoja mnoko .
Ile ndio signal pure ,hatari na nusu
 
Poleni sana kwa changamoto iliyotokea, upo muda na wakati sahihi wa kuinuliwa na Mungu. Samahani kama ulipiga practical ya data analyst naomba msaada wa maswali yake
Swali la kwanza ni kutumia python au R ku query data kutoka kwenye dataframe utakayotengeneza kutoka kwa dataset watakayokupa.

Swali la pili ni SQL unatumia mysql au postgres ku query data kutoka kwenye database utakayotengeneza na tables utakazotengeneza au ku import kutoka kwa sheets watakazokupa

swali la tatu ni excel, mambo ya pivot table, visualisation, conditional formatting, vlookup.
 
Kuna consultancy za kawaida za dola 2000 au 3000 kwa mwezi na maTA wengi walio vizuri kwenye maeneo yao wanazipata.

Maokoto mengine si supervision za field kwa wanafunzi mwisho wa mwaka, kuwasaidia wanafunzi wa vyuo vingine kazi zao za research, kama kazi yako ni lab based unaweza pia kuwa unafanya analysis za sample kutoka nje.

Maokoto mengine ni kutafuna madawili wa madarasa ambayo hufundishi 😁​
House
Transport
Meals
Hakuna chochote?
 
Swali la kwanza ni kutumia python au R ku query data kutoka kwenye dataframe utakayotengeneza kutoka kwa dataset watakayokupa.

Swali la pili ni SQL unatumia mysql au postgres ku query data kutoka kwenye database utakayotengeneza na tables utakazotengeneza au ku import kutoka kwa sheets watakazokupa

swali la tatu ni excel, mambo ya pivot table, visualisation, conditional formatting, vlookup.
Barikiwa chief
 
Aya maswali ukiwa nje ya paper yanaenda ila ukiwa mule mikono inaishia ku vibrate tuu
 
Ila mambo ya Tanzania katika ajira ni kupotezeana muda tu 😂😳 najiuliza sana ivi wale jamaa wa automobile waliyo fanya usahili wa mahojiana (oral interview) November 8, 2023 hadi Leo hawajapangiwa hata mtu mmoja ndo by by au na wale wa mechanical engineer waliyo fanya usahili mwezi wa mahojiano mwezi wa saba 2023 nao ndo by by au? Nafasi 20 duh kwa mechanical na 2 kwa automobile!
Na wale wa mifungo mbona hawajaisha bado
 
aisee waliwasumbua bure tu na interview zao wale jamaa
 
Sasa hivi hawaiti usahili tena paka january mwakani au february
Mwezi wa kumi na mbili kwanzia tarehe 4 Hadi 18 lazima saili zifanyike hii kutokana na kumbukumbu zangu mwaka jana tangazo la kazi lilitoka mwezi wa nane Kisha saili zikafanyika tarehe za mwanzo za December Kisha January watu wakaingia mzigoni
 
Inaonekana IT wanakaza sana.naona prac wangekuwa wanatoa vitu basic tu then mtu akiajiriwa si atakula training.
haya maswala ya practical zamani hayakuepo itakua kuna raia walikua wanaenda maofisini huko alafu wako empty labda ndio maana mashirika yakaamua kutuchomea utambi kwa utumishi
 
Back
Top Bottom