Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu naomba kuuliza, Hivi kama nimetoboa oral na jina lipo kwa Database ila kila hakuna dalili ya kupangiwa kazi miezi sita sasa, na wakati huo huo nimepata kazi private sectors ambayo niki sign contract hakuna kuondoka mpaka contract iishe, hapo mnanishauri niende private au nisikilizie utumishi?
ukitaka ufukuzwe kazi ata bila kulipa hata mia we sain mkataba piga kaz hapo private kisha jina likitoka anza kuwa mtoro , au nenda kazin umelewa chakari, au nenda kazin na mpenz wako mfanye mapenz kazin mbele ya bosi, au ukishaona jina limetoka utumish mtongoze mke wa bosi live mbele yake......au ukiona jina lako limetoka kimya kimya mwandikie barua ya kumfukuza bosi kazi na wafanyakazi wengne wote gonga na muhuri feki na dai kujimilikisha kampuni..............au nenda kazini uchi..........watakufukuza mapema sanaa
 
Kumbe oral sio lazima

Screenshot_20241119-134427.png
 
Wakubwa namshukuru Mungu nami nimebahatika kulamba asali naamini Mungu ni mwema kwetu sote na kila mmoja kwa wakati wake naye atailamba asali

Sambamba na hilo nahitaji sana msaada wenu wakubwa kwani katika hizi harakati za kuendelea kusikilizia asali mimi niliona nichukue muda huo kuendelea na masomo kwa ngazi ya shahada ila hilo halikunizuia kujaribu bahati yangu nilipoona nafasi zimetangazwa na kwa bahati Mungu akajalia

Sasa mwaka huu ndio nimeingia mwaka wa mwisho wa masomo kwa ngazi hiyo ya shahada, nimesikia sikia story nyingi nyingi kuhusu uwezekano wa kuomba nafasi ya kumaliza masomo kisha kuingia kibaruani rasmi, ila sijaweza kupata maelezo yaliyonyooka kuhusu hilo ndipo nikaona ni vema niwaulize wataalamu humu ili mnisaidie mwongozo juu ya hilo au ufafanuzi zaidi ili nipate kuelewa, Natanguliza shukrani wakubwa
Kaongee na Afisa utumishi wako, huwa yanazungumzika hayo.
 
Mkuu wa idara na afisa utumishi hawa wanapatikana wapi mkuu? Mwajiri ni Halmashauri, Je wanapatika kwenye Halmashauri husika au?
Fika kituo chako cha kazi, wasome wafanyakazi wa hapo wapoje mtafute mmoja ambaye anaweza kukupa hints maisha ya hapo yanaenda vipi then , ujipange namna ya kuwasilisha hoja yako kwa wakuu wako. Hayo ni maswala binafsi na yanazungumzika.
 
Majina ya Nida na vyeti yame tofautiana ivyo huwa natumia affidavit of names (kiapo cha kuthibitisha majina )
so leo nilkua na copy ya iyo hati na imekua certified. pia huwa natumia kwa interview zote ila leo wame goma..
Tafuta Deep Poll
 
Wale wa Bcom(Accounting), Bachelor degree in Accounting na kozi nyingine zilizokua zinashindana katika nafasi ya ukaguzi wa fedha (Auditing) NAOT waneshawapa mkono wa kwaheri, course mpya Bachelor degree in accounting with Information Technology inaenda kutamba sasa.
Bila shaka inafundishiwa IAA hii!
 
Wakuu naomba kuuliza mimi nina GPA ambayo siwez omba tutorial assistant lkn pale kwenye kuomba ilikubali nikaandika tu barua na kwenye interview nimeitwa niende au nisiende wakuu.
Ingelikuwa Private Sector ningekuambia jitoe ufahamu maana wao huangalia Uwezo wako kichwani kuliko vyeti ulivyoshika. Lakini kwa vile ni huku kwa Baba wa Nyumba pumzika home. Watakupiga Redcard hutasahau.
 
Wakuu naomba kuuliza, Hivi kama nimetoboa oral na jina lipo kwa Database ila kila hakuna dalili ya kupangiwa kazi miezi sita sasa, na wakati huo huo nimepata kazi private sectors ambayo niki sign contract hakuna kuondoka mpaka contract iishe, hapo mnanishauri niende private au nisikilizie utumishi?
Mkataba wa kazi kuvunja ni kumlipa mwajiri mwezi mmoja au kufanya kazi nila malipo kwa mwezi mmoja baada ya kutoa notice ya kuacha kazi....hakuna mkataba usiovunjwa
 
ukitaka ufukuzwe kazi ata bila kulipa hata mia we sain mkataba piga kaz hapo private kisha jina likitoka anza kuwa mtoro , au nenda kazin umelewa chakari, au nenda kazin na mpenz wako mfanye mapenz kazin mbele ya bosi, au ukishaona jina limetoka utumish mtongoze mke wa bosi live mbele yake......au ukiona jina lako limetoka kimya kimya mwandikie barua ya kumfukuza bosi kazi na wafanyakazi wengne wote gonga na muhuri feki na dai kujimilikisha kampuni..............au nenda kazini uchi..........watakufukuza mapema sanaa
mmh!Jaman
 
Dah ! Ila kuna watu vichwa vimepinda aisee
Kwamba aende uchi kazini au sio ?
 
Back
Top Bottom