Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaDah nashukuru Mungu nimelamba asali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaDah nashukuru Mungu nimelamba asali.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifuDah nashukuru Mungu nimelamba asali.
Pole kama umechanganyikiwa 😂😂😂🙌@El marabiosh alitakiwa anijibu yeye Mr.Engineer😅😅Acha kuchanganya watu na jua kali hili. Tulieni kila mmoja ataitwa kwa wakati wake
Safisha Database hiyo ukiona hivyo kuna Taasisi inakuja itasomba watu ...Kumbe utumishi sio wa kuwatia tamaa yaan wanaitwa watu kutoka mwez wa 6 2023!?
Hongera sana Kiongozi....Ukawe mtumishi mwemaDah nashukuru Mungu nimelamba asali.
Naomba kuuliza mkuu,hivi majina kwenye vyeti yakiwa na initial katikati alaf kwenye nida yapo yote matatu,kwa mfano kwenye vyeti ni John A Juma na kwenye nida ni John Alex Juma hapo kuna ulazima wa kuwa na hati ya kiapo?Hongera sana Kiongozi....Ukawe mtumishi mwema
sidhani kama ni lazima Mimi vyeti vyangu vya shule jina la kati ni initial na nimepiga interview 4 hamna ata Moja nilodaiwa hati ya kiapo muhimu spelling ziwe vile vile kwenye cha kuzaliwa na NIDANaomba kuuliza mkuu,hivi majina kwenye vyeti yakiwa na initial katikati alaf kwenye nida yapo yote matatu,kwa mfano kwenye vyeti ni John A Juma na kwenye nida ni John Alex Juma hapo kuna ulazima wa kuwa na hati ya kiapo?
nachomokaje kwa mfanoHujachomoka na pdf zote zile kaka🥲
Rahsully kua makini watu wako moto majina hayaonekani kwa pdf utachezea makofi online😛😛Pole kama umechanganyikiwa 😂😂😂🙌@El marabiosh alitakiwa anijibu yeye Mr.Engineer😅😅
sidhani kama ni lazima Mimi vyeti vyangu vya shule jina la kati ni initial na nimepiga interview 4 hamna ata Moja nilodaiwa hati ya kiapo muhimu spelling ziwe vile vile kwenye cha kuzaliwa na NIDA
Yes hapo Pana shida mkuu, inabidi ukape mahakamani, watakupa affidavit mkuuJe kwa mtu mwenye majina mawili tu kwenye vyeti vya Taaluma (mfano: Adam Kiberenge), na majina matatu kwenye vitambulisho like NIDA, vote ID (mfano: Adam Shija Kiberenge), hapo kutakuwa na shida yoyote ?
Hiyo ya majina mawili nilisikia inaleta shida tafuta tu Affidavit mkuu.Je kwa mtu mwenye majina mawili tu kwenye vyeti vya Taaluma (mfano: Adam Kiberenge), na majina matatu kwenye vitambulisho like NIDA, vote ID (mfano: Adam Shija Kiberenge), hapo kutakuwa na shida yoyote ?
Unahisi utaulizwa hilo swali kwenye usaili?Nikumbusheni.Sifa tano za mtumishi wa umma
Kisheria hawa ni watu wawili tofauti.Je kwa mtu mwenye majina mawili tu kwenye vyeti vya Taaluma (mfano: Adam Kiberenge), na majina matatu kwenye vitambulisho like NIDA, vote ID (mfano: Adam Shija Kiberenge), hapo kutakuwa na shida yoyote ?
Kwa faida yanguUnahisi utaulizwa hilo swali kwenye usaili?
Oh okKwa faida yangu