Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kumbe utumishi sio wa kuwatia tamaa yaan wanaitwa watu kutoka mwez wa 6 2023!?
Safisha Database hiyo ukiona hivyo kuna Taasisi inakuja itasomba watu ...
Yote kwa Yote ni maamuzi manzuri wamefanya kwa jinsi michakato yao ajira inavyoendeshwa inachukua muda mrefu zaidi ya mwaka alafu neno database inakaa mwaka mmoja ni uhuni tu.......
Mungu azidi kuwapa PSRS kibali zaidi cha kututoa mtaani....
 
Hongera sana Kiongozi....Ukawe mtumishi mwema
Naomba kuuliza mkuu,hivi majina kwenye vyeti yakiwa na initial katikati alaf kwenye nida yapo yote matatu,kwa mfano kwenye vyeti ni John A Juma na kwenye nida ni John Alex Juma hapo kuna ulazima wa kuwa na hati ya kiapo?
 
sidhani kama ni lazima Mimi vyeti vyangu vya shule jina la kati ni initial na nimepiga interview 4 hamna ata Moja nilodaiwa hati ya kiapo muhimu spelling ziwe vile vile kwenye cha kuzaliwa na NIDA
 
Walimu wapo kimya hatuoni vituko kama vilivyotokea kwenye afya, inamaana walimu wapo smart sana au??
 
sidhani kama ni lazima Mimi vyeti vyangu vya shule jina la kati ni initial na nimepiga interview 4 hamna ata Moja nilodaiwa hati ya kiapo muhimu spelling ziwe vile vile kwenye cha kuzaliwa na NIDA

Je kwa mtu mwenye majina mawili tu kwenye vyeti vya Taaluma (mfano: Adam Kiberenge), na majina matatu kwenye vitambulisho like NIDA, vote ID (mfano: Adam Shija Kiberenge), hapo kutakuwa na shida yoyote ?
 
Yes hapo Pana shida mkuu, inabidi ukape mahakamani, watakupa affidavit mkuu
 
473448593_602851842386420_3020101284925715672_n.jpg
ticha kashanyolewa 😀 😀 😛
 
Je kwa mtu mwenye majina mawili tu kwenye vyeti vya Taaluma (mfano: Adam Kiberenge), na majina matatu kwenye vitambulisho like NIDA, vote ID (mfano: Adam Shija Kiberenge), hapo kutakuwa na shida yoyote ?
Hiyo ya majina mawili nilisikia inaleta shida tafuta tu Affidavit mkuu.
 
Je kwa mtu mwenye majina mawili tu kwenye vyeti vya Taaluma (mfano: Adam Kiberenge), na majina matatu kwenye vitambulisho like NIDA, vote ID (mfano: Adam Shija Kiberenge), hapo kutakuwa na shida yoyote ?
Kisheria hawa ni watu wawili tofauti.

Tafuta affidavit
 
Back
Top Bottom