Rahsully
Senior Member
- Aug 2, 2023
- 120
- 195
๐๐๐๐๐tulikubaliana kua kuna pdf la tanesco litatoka mwez ujao tar 7 niliwaambia wakuweke na wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐tulikubaliana kua kuna pdf la tanesco litatoka mwez ujao tar 7 niliwaambia wakuweke na wewe
acha tu aisee sijui tuna gundu gani. ila usjali jiandae na TAA na TPDC huwezi jua maana hata hizo ni asali tu..๐๐hiv TRA hatuna vigezo au mana nafasi ni nyingi jmn
Ndio mkuu nimefanikiwa mimi japo sijafanikiwa kuomba ila kitu nime uploadKuna aliyeweza kufungua portal ya Ajira ya TRA?
Wakuu aliefanikiwa kuvuka hapo
Ngoja niendelee kupush kama itafunguka
Inafunguka sema tumia computer may be mm nimetumia simu ndio nimekwama hapoNgoja niendelee kupush kama itafunguka
Asante mkuu.nami nimeona sehemu kaka.Mimi nimeliona kwenye group za Whatsapp
Mumy ukipewa ni tagGuys kama kuna mtu ana link ya group za interview za TRA naomba
May be some of them ... Ila Kuna jamaa zangu 3 walifanha interview January wameitwa kaziniWakuu ivi wanaoitwa maendeleo ya jamii ni wale wa degree kutoka database??
Wakirudi kule watashindwa kubebana ndio maana wanataka kuajiri wenyewe.Ilitakiwa tupaze sauti tra warudi Ajiraportal
Kaka naomba tangazo hilo mkuuHayaa TAKUKURU hyooo inawataka wenye umri wenu not above 30 yrs๐๐๐๐nshazeeka walah
Naona hapa nimeitwa nafasi ya accounts officer, mwenye dondoo za maswali ya hawa jamaa atuwekee hapa please.maana wengine wageni kwenye hizi interview za mamlaka za serikali.TAA INTERVIEW