Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kuna op
Mkuu ningekushauri uombe moja tu. Siku hizi hawachek na kima interview zinafanyika siku moja na mda mmoja mimi kwenye io pdf naweza kuomba sehemu 3 lkn kilichotokea BOT kinaenda tokea TRA
sor kuna option ya kucancel application?
Wanasema ukitumia level moja ya elimu sio shida.

Ila ukiomba nafasi moja ya Degree na nyingine ya Diploma wanapita na wewe.
 
Tunawaambia wanaleta ubishi omba sehemu moja yenyewe utakuwa nondo
Kuna ambao tuliomba position mbili, tokea mwezi wa 8 mwaka jana lakini bado hatuja itwa kwenye interview. Je, tutakuwa not shortlisted? Naomba majibu
 
Acha tu mkuu kweli yataka moyo TAA BOT na nyingine zilifata lkn MDAs na LGAs wap
Hao ajira za mchongo washawaweka vijana wao huko wewe miezi 10 unaenda mwaka unasubiria interview tangu mwezi wa 8 mwaka jana 2024 huu mwezi wa 2 unaenda wa 3 mwaka 2025 interview hakuna wewe hesabu hakuna kitu hapo washaweka watoto wao huko na mkiitwa interview ni ushahidi tu ila kazi watu wameshapewa, Nchi imeshabadiri mfumo sasa hivi connection ndio kila kitu huna connection endelea kulamba lambi

Acha BOT na TAA hii ya TRA mtaitwa interview mtaanza na kazi kabisa mtaitwa kazini na kuanza kazi ila hizo za LGA's & MDA's za tangu mwaka jana mwezi wa 8 hawatowaita halafu km wanalipa mamillion vile kumbe mshahara wenye laki 5 umezidi sana laki 7 laki 8 ndio wanawatesa vijana namna hii
 
Back
Top Bottom