Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hizi naongelea zile elfu sita walizotoa mwaka jana mwezi wa nane trh 3 , walishaita kada kama afisa usafirishaji,afisa maendeleo ya Jamii, afisa maendeleo msaidiz n.k bado afisa mazingira,afisa utalii,afisa uvuvi, afisa hesabu, madereva n.k
Ndio nahisi wanafata hao maana ndio ajira za watu wengi zilizobaki ukitoa afya na waalimu.
Ngoja tusubir na zile za January mwakan duh
 
I agree mkuu

Nakumbuka nilipomaliza kumwaga vitu mule ndani wakati natoka yule katibu ambae ndie alikuwa anatuita kuingia interview room alinambia hongera kijana mimi ndio HR wa hapa umetokea wapi...Nikamjibu kwa unyenyekevu wa hali ya juu sana, akanambia ukipata kazi tutaonana ofisini kwangu

Nikahisi lolote linaweza tokea matokeo yake pdf la placement limetoka nimeliwa kichwa so far waliyemchukua ndie alituongozea written so panelist walikuwa fair tu kumpa yule kazi maana kwa written mm nilikuw mtu wa 3
Dah hii ndo inauma, ila afadhali alikupa moyo kidogo may be next time itakuwa bahati yako..

Jaribu nyingi kabla uwezavyo mpaka kieleweke mkuu
 
Back
Top Bottom