Kwanini 'Video' ya ngono ikivuja jamii haimuangalii vizuri mwanamke aliyeshiriki kwenye hiyo video tofauti na inavyokuwa kwa mwanaume?

Mwanakondoo alijua kutuaibisha yule!!!! Yani alikua ameganda kanyooka kama rula hajitingishi.....askofu chidy anapiga viuno kondoo katulia tuliii, aaah mamaeeeh sana
Yule mwankondoo yawezekana alidanganywa anawekewa nguvu za roho mtakatifu... kumbe ilikuwa roho mtakavitu...

Akatulia utadhani tairi inajazwa upepo...

Chidy sengesengerema sana mamamamae zake
 
Mmmmmmhmn ndugu hapo kwa kim Kardashian na Ray J kiukweli umeupiga mwingi.

Kim ni mtoto wa mzee Kardashian , wakili maarufu alie simamia kesi tata ya mauwaji iliyokuwa inamkabili black American maarufu aitwaye O.J Simpsons, mcheza American football maarufu huko marekani aliyetuhumiwa kumua kikatili mke wake mwenye asili ya kizungu.

Kim Kardashian , baada ya mkanda wake wa ngono na Ray J kuvuja, alipata umaarufu ambao ulipelekea jarida la playboy kumtafuta ili wafanye nae kazi ya kupiga picha za nusu utupu. Na hapo ndipo safari ya umaarufu na utajiri wake hadi leo ilipoanzia.

Kwa upande wa Ray J , umaarufu ulikuja baada ya kwanza kuonekana akimla binti wa wakili maarufu ila pili , wadada walizimikia dushe lake maana waliona ni size numbre uno.
Lakini pia kumbuka Ray J ni mdogo wa mwanadada Brandy Norwood ambae ni nguli kama sio moto wa kuotea mbali wa muziki wa R&B asie na mpinzani popote duniani kwa uimbaji wake mahiri na ubunifu. Hii pia ilichangia sana ile skendo kuwa kubwa.
 
Mwanakondoo alijua kutuaibisha yule!!!! Yani alikua ameganda kanyooka kama rula hajitingishi.....askofu chidy anapiga viuno kondoo katulia tuliii, aaah mamaeeeh sana
Wengi wenu mkiwa Bed mko hvyo Ila huku mitandaoni mnajikuta mafundi
 
Tuione Kwanza hiyo video ya kim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…