dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
ala moja haikai panga mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanakondoo alijua kutuaibisha yule!!!! Yani alikua ameganda kanyooka kama rula hajitingishi.....askofu chidy anapiga viuno kondoo katulia tuliii, aaah mamaeeeh sanaIle ya mchungaji feki Gwajima akimkatikia viuno muumini wake.... ni nani aliyesemwa zaidi?
Yule mwankondoo yawezekana alidanganywa anawekewa nguvu za roho mtakatifu... kumbe ilikuwa roho mtakavitu...Mwanakondoo alijua kutuaibisha yule!!!! Yani alikua ameganda kanyooka kama rula hajitingishi.....askofu chidy anapiga viuno kondoo katulia tuliii, aaah mamaeeeh sana
Kama hujaolewa mimi nataka ndoa na weweMwanakondoo alijua kutuaibisha yule!!!! Yani alikua ameganda kanyooka kama rula hajitingishi.....askofu chidy anapiga viuno kondoo katulia tuliii, aaah mamaeeeh sana
Mmmmmmhmn ndugu hapo kwa kim Kardashian na Ray J kiukweli umeupiga mwingi.Video ya ngono iki leak mwanamke aliyomo kwenye hiyo video huwa haangaliwi vizr na jamii yake tofauti na mwanaume aliyehusika pia kwenye hiyo video.
Mwanamke atataniwa kwa aina ya matusi na utani na sometimes inaweza kumpelekea msongo wa mawazo mwisho kujiua lakini kwa upande wa mwanaume yeye anakuwa hajali kitu utafikiri hamna kilichotokea na kuna baadhi ya jamii anapongezwa kabisa.
Mfano video ya Kim kadashian na Ray j video ile ilimpa umaarufu Sana Ray j baadhi ya watu walimpa pongez za kutosha lakini tofauti kwa Kim kadashian yeye aliharibu heshima yake kwenye jamii na kufanya baadhi ya makampuni kujiondoa udhamini wao kwenye bidhaa za Kim. Hii imekaaje wadau.
Wengi wenu mkiwa Bed mko hvyo Ila huku mitandaoni mnajikuta mafundiMwanakondoo alijua kutuaibisha yule!!!! Yani alikua ameganda kanyooka kama rula hajitingishi.....askofu chidy anapiga viuno kondoo katulia tuliii, aaah mamaeeeh sana
Daaaah sa itakuajeWengi wenu mkiwa Bed mko hvyo Ila huku mitandaoni mnajikuta mafundi
Karibu sana, shela na suti ntanunua mwenyewe uko wapi mchumba nije kuchukua vipimoKama hujaolewa mimi nataka ndoa na wewe
Tuione Kwanza hiyo video ya kimMmmmmmhmn ndugu hapo kwa kim Kardashian na Ray J kiukweli umeupiga mwingi.
Kim ni mtoto wa mzee Kardashian , wakili maarufu alie simamia kesi tata ya mauwaji iliyokuwa inamkabili black American maarufu aitwaye O.J Simpsons, mcheza American football maarufu huko marekani aliyetuhumiwa kumua kikatili mke wake mwenye asili ya kizungu.
Kim Kardashian , baada ya mkanda wake wa ngono na Ray J kuvuja, alipata umaarufu ambao ulipelekea jarida la playboy kumtafuta ili wafanye nae kazi ya kupiga picha za nusu utupu. Na hapo ndipo safari ya umaarufu na utajiri wake hadi leo ilipoanzia.
Kwa upande wa Ray J , umaarufu ulikuja baada ya kwanza kuonekana akimla binti wa wakili maarufu ila pili , wadada walizimikia dushe lake maana waliona ni size numbre uno.
Lakini pia kumbuka Ray J ni mdogo wa mwanadada Brandy Norwood ambae ni nguli kama sio moto wa kuotea mbali wa muziki wa R&B asie na mpinzani popote duniani kwa uimbaji wake mahiri na ubunifu. Hii pia ilichangia sana ile skendo kuwa kubwa.