Kwanini vijana wengi wana wapenzi lakini bado wanajichua?

Kwanini vijana wengi wana wapenzi lakini bado wanajichua?

Unakuta kijana wa kiume yuko na wapenzi si chini ya wawili lakini haachi kujichukulia sheria mkononi (Kujichua)

Je, ni kwamba anakua haridhiki anapofanya ngono na mwanamke wake au mwanaume wake?

Sina uhakika sana kama watoto wa kike nao huwa wanajichua hata kama wana boyfriends ila hata kama wapo idadi yao inaweza kuwa sio kubwa sana kama ya watoto wa kiume.

Nini hasa kinasababisha hali hii?

Ni nature au kujiendekeza?
Vijana wengi au ni wewe?
 
Back
Top Bottom