johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Watatumia wapi fweza zao.Nauliza tu maana Dodoma wamebakia akina mzee Mgaya na mzee Ndugai wengine wote wametimkia Dar es salaam kula sikukuu ya Eid El Fitr.
Ni kwamba Dodoma ni padogo au bado ni mashambani hakufai kusherehekea sikukuu zenye amsha amsha?!!
Eid Mubarak!
Nimekuelewa bwashee!Dar ndio Tanzania bwashee! Huko kwengine mwachie "dugai" tu.
Mwendazake alikuwa anapapenda kwasababu ya cheap mademu wa chuo
Gharama zilikuwa zinamshinda mbulula. Washamba kwenu ni kule kwenye msalaba wa mwendazake nchi Sasa ipo kwa waungwana
DSM ndiyo habari ya mjini. Dodoma hata baada ya miaka mia haitaifikia DSM!!!Nauliza tu maana Dodoma wamebakia akina mzee Mgaya na mzee Ndugai wengine wote wametimkia Dar es salaam kula sikukuu ya Eid El Fitr.
Ni kwamba Dodoma ni padogo au bado ni mashambani hakufai kusherehekea sikukuu zenye amsha amsha?!!
Eid Mubarak!
Hahaaa hadi nyie??? Samaleko binti😂😂Sio viongozi tu, hata wasaidizi wa viongozi wanalalamika sana kuishi Dodoma.
Hhahahah sio mimi buanaa! Cheers ya Idd pili 😀Hahaaa hadi nyie??? Samaleko binti😂😂
Ngoja wale wenye uzi 'DAR ITAPAUKA BAADA YA SERIKALI KUHAMIA DODOMA" waje watie neno hapaNauliza tu maana Dodoma wamebakia akina mzee Mgaya na mzee Ndugai wengine wote wametimkia Dar es salaam kula sikukuu ya Eid El Fitr.
Ni kwamba Dodoma ni padogo au bado ni mashambani hakufai kusherehekea sikukuu zenye amsha amsha?!!
Eid Mubarak!
Hahahaaaa......!Ngoja wale wenye uzi 'DAR ITAPAUKA BAADA YA SERIKALI KUHAMIA DODOMA" waje watie neno hapa