Kwanini viongozi wa kitaifa hupenda kula Sikukuu DSM badala ya Dodoma yalipo makazi yao?

Kwanini viongozi wa kitaifa hupenda kula Sikukuu DSM badala ya Dodoma yalipo makazi yao?

Hao viongozi akiwemo SSH hawajahamia Dom rasmi. Familia za zote bado ziko Dar!!!!
 
Mkapa alikuwa na utaratibu huo kila mwisho wa Mwaka,
Hadi leo Mwinyi yupo Msasani, bora hata akitaka kurusha picha mtandaoni anasogeaga Msoga kupata picha za shamban anakwanyua Hindi kwny Mti huku ana mawani yake ya kibishoo na Travolta mguuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nauliza tu maana Dodoma wamebakia akina mzee Mgaya na mzee Ndugai wengine wote wametimkia Dar es salaam kula sikukuu ya Eid El Fitr.

Ni kwamba Dodoma ni padogo au bado ni mashambani hakufai kusherehekea sikukuu zenye amsha amsha?!!

Eid Mubarak!
Mbona jiwe alipokuwa anakimbilia Chattle hamkuwa mnalalamika?
 
Nauliza tu maana Dodoma wamebakia akina mzee Mgaya na mzee Ndugai wengine wote wametimkia Dar es salaam kula sikukuu ya Eid El Fitr.

Ni kwamba Dodoma ni padogo au bado ni mashambani hakufai kusherehekea sikukuu zenye amsha amsha?!!

Eid Mubarak!
Lazima ujue Eid inaliwa Pwani na Christmas inaliwa Moshi. Dodoma nyie subirini sikukuu za kisiasa

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Dar ndo KILA kitu kuhamia dom ilikuwa ni kuukimbia mzimu wa saa 8.Lkn mzimu aikimbiwi
 
Back
Top Bottom