Alwatan Stone Tangawizi nae kuna conspiracies kuwa alikuwa assasinated!Mbona umetaja viongozi wachache sana, hebu endelea na orodha yako, pengine utaje na hawa waliouwawa siku za karibuni...
Ebu tupe na wa hapo bongo.Ni jambo la kushangaza sana kuona wanandani wako wanakugeuka na kusuka mipango ya kukuua. Maana madaraka ya Afrika yanashangaza sana.
Blaise Compaore alimgeuka mtu wake wa karibu kabisa Thomasa Isidore Sankara na kisha kumuua. Na yeye akachukua madaraka
Mobutu Seseseko alimgeuka Patrice Lumumba na kisha akapanga njama za kumuua akishirikiana na mashirika ya kijasusi ya ya mabeberu.
Tafawa Balewa alifanyiwa usailiti mbaya sana na kisha kuuwawa kama mnyama. Na waliomsaliti ni watu wa karibu na walimuua na kufanikisha walichotaka.
Kwa ufupi kama taifa tujitafakari sana. Maana Afrika is not good.
Eheeee wewe ndio angaku unatutoa tongo tongoMbona umetaja viongozi wachache sana, hebu endelea na orodha yako, pengine utaje na hawa waliouwawa siku za karibuni...
Alwatan Stone Tangawizi nae kuna conspiracies kuwa alikuwa assasinated!
Ukweli utajibainisha tu dunia hainasiriZinazungumzwa sana hizo tetesi
Zanzibar hayakuwa Mapinduzi matukufu yalikuwa ni Mauaji ya Kimbari ya kwanza ktk Afrika ya MasharikiKweli mkuu, lakini mapinduzi yao yalikuwa mapinduzi matukufu kama ya Zanzibar. Uongo Sheik?
Muulizeni KoronaJPM mbona humtaji!???
Kwa Ulinzi ule mpaka wa kuazimwa jirani? Yaani mnasemaje kufananisha Koona na assassination. Kile kidude cha moto na Koona haviendani. Tuache uzushi.Alwatan Stone Tangawizi nae kuna conspiracies kuwa alikuwa assasinated!
Una maana gani? Hayakuwa mapinduzi ya kuondoa utawala usiofaa wa sultani?Zanzibar hayakuwa Mapinduzi matukufu yalikuwa ni Mauaji ya Kimbari ya kwanza ktk Afrika ya Mashariki
Ah wapi mkuu.Alwatan Stone Tangawizi nae kuna conspiracies kuwa alikuwa assasinated!
Kwa ufupi kama taifa tujitafakari sana..????????
Conscipiracy zinasema ni biological weapons ndo zilitumika, biological assassination.Kwa Ulinzi ule mpaka wa kuazimwa jirani? Yaani mnasemaje kufananisha Koona na assassination. Kile kidude cha moto na Koona haviendani. Tuache uzushi.
Kwa bahati nzuri kwetu halijawahi tokea na kamwe haliji tokea.mungu barikiNi jambo la kushangaza sana kuona wanandani wako wanakugeuka na kusuka mipango ya kukuua. Maana madaraka ya Afrika yanashangaza sana.