Kwanini viongozi wengi wa Afrika husalitiwa na inner circles na kisha kuuawa? Waafrika hatuaminiki?

Kwanini viongozi wengi wa Afrika husalitiwa na inner circles na kisha kuuawa? Waafrika hatuaminiki?

Ni jambo la kushangaza sana kuona wanandani wako wanakugeuka na kusuka mipango ya kukuua. Maana madaraka ya Afrika yanashangaza sana.

Blaise Compaore alimgeuka mtu wake wa karibu kabisa Thomasa Isidore Sankara na kisha kumuua. Na yeye akachukua madaraka

Mobutu Seseseko alimgeuka Patrice Lumumba na kisha akapanga njama za kumuua akishirikiana na mashirika ya kijasusi ya ya mabeberu.

Tafawa Balewa alifanyiwa usailiti mbaya sana na kisha kuuwawa kama mnyama. Na waliomsaliti ni watu wa karibu na walimuua na kufanikisha walichotaka.

Kwa ufupi kama taifa tujitafakari sana. Maana Afrika is not good.
Ongesa JK alimsaliti Lowassa
 
Jibu ni rahisi mtu wako wa karibu ndio anakujua vizuri. Adui yako wa mbali hawezi kukufikia bila kupitia kwa rafiki yalo wa karibu.

“Kikulacho ki nguoni mwako”
 
Jiulize why PAKA na M7 japo ni magwiji wa udikteta but still wanadunda.
Wapo madarakani si kwa sababu Wana intelligence kali au ulinzi mkali Sana hapana wanatumia kanuni hizi mbili ambazo walishindwa kumpa mwanafunzi wao au mwanafunzi alikuwa ni mjuaji kuliko walimu wake wakaona wamuache na acheze na fyuzi ya bomu likamlipukia.
Kanuni za kuongoza nchi ni mbili.
1.Usiguse maslai ya wakuu wa dunia.
2.Usisomeshe namba watu wako
Wasoma namba wataungana na wakuu wa dunia lzm wakuondoshe kidemokrasia,kimafia, au kidikteta.
Huwezi ukashindana na watu ukashinda hasa kama umeitengenezea maadui.
Kanuni bora ya kuongoza nchi.
1.Usiwaumize watu wako
2.Shirikiana na wakuu wa dunia kwa win win situation
 
Jibu ni rahisi mtu wako wa karibu ndio anakujua vizuri. Adui yako wa mbali hawezi kukufikia bila kupitia kwa rafiki yalo wa karibu.

“Kikulacho ki nguoni mwako”
Wasoma namba na wakuu wa dunia uungana.
 
Thomas Sankara alitaka kuifanya Burkina faso kuwa Nchi ya Kijamaa Wafaransa wakamtumia Rafiki yake kumuondoa

Wote wawili walikuwa ni Wanajeshi ambao hawakuingia Ikulu kwa Ballot bali kwa Bullet
Ukiuuwa kwa upanga kwann nawe usiondoke kwa upanga hii ni kanuni ukiifata ni lzm uishi huwezi ikwepa.
Muosha uoshwa
 
Thomas sankara wa burkina faso alikuwa anakiuka katiba na kuifanya nchi kama ya baba yake,na kuwakandamiza wenzake ndo maana wakamtoa bila kutaka.
 
Sio Afrika tu no Duniani kote kwenye Siasa na ndivyo ilivyo ndio maana uliambiwa mchezo mchafu kwa kuwa ndipo kwenye masilahi.
Hamna kifo cha Bahati mbaya kwenye siasa,vitu vyote vipo planned mzee.
 
Bado paragraph moja mkuu ujaimalizia.
Unataka wengine,basi chukua wa hapa hapa Tz kisha uta fikiria mwenyewe kipi ni kipi.
1.Karume Baba Vs Nyerere
2.Nyerere Vs Mkapa
3.Sokoine Vs ????
4.Dr.Omary Juma Vs Kikwete&Lowassa
5.Mkapa VS Magufuli
6.Magufuli Vs ???????
 
What do you mean my dear brother?
There are more you have to disclose from your previous thread for the JF members to clearly understand what your concept meant, that is why you were reminded to expose everything now before the platform performs the assignment.
 
Dont you understand what i mean?
 
Ni jambo la kushangaza sana kuona wanandani wako wanakugeuka na kusuka mipango ya kukuua. Maana madaraka ya Afrika yanashangaza sana.

Blaise Compaore alimgeuka mtu wake wa karibu kabisa Thomasa Isidore Sankara na kisha kumuua. Na yeye akachukua madaraka

Mobutu Seseseko alimgeuka Patrice Lumumba na kisha akapanga njama za kumuua akishirikiana na mashirika ya kijasusi ya ya mabeberu.

Tafawa Balewa alifanyiwa usailiti mbaya sana na kisha kuuawa kama mnyama. Na waliomsaliti ni watu wa karibu na walimuua na kufanikisha walichotaka.

Kwa ufupi kama taifa tujitafakari sana. Maana Afrika is not good.
Mkuu funguka tu ....Sasa hivi hakuna wa kukufuatilia Kwan zile Sheria za kidhalimu tunaenda kuzifuta bungen
 
si kama hapa tz tu walivyofanya miez ya juzi juzi
 
Back
Top Bottom