Kwanini vitabu vya dini havijataja sayari zingine zaidi ya Dunia?

Dini ni kwa ajili ya kushape tabia za watoto.....😁
Alijitoa nafsi na uhai kuupigania,kuulinda na kuutetea uislamu. Kupitia yeye leo tumepewa Tawfiq za kutosha. Tuna uhakika wa jannah na firdaus.

Allah azidi kumfanyia wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali A.S.

Kwenye picha hapo chini kipenzi chetu cha dhati Imaam akimuaga kwa mara ya mwisho kabla ya umauti mke wake wa mwisho Shaharbanu bint Yezdegerd ni mama ya Imam Ali Al-Sajjad, peace be upon him.



adriz Malaria 2 Code 255 Titicomb ephen_ dronedrake Yazidi Salim
 
Pole kwa kufiwa
 
Acha bhangii🙄
 
Wakati vinachapishwa sayari nyingine hazikuwa zimezaliwa!
 
Sasa mkuu hapo ndio reasoning yako ndio imeishia au umechagua flow ya ku justify your conclusions
 
Yawezekana watu wa kale waliona Race kutoka mbali ya Dunia hivyo wakawa hawana uelewa wa mambo
Imagine Story za Mungu na Malaika ni kama vile hawa miamba walikua na tech kubwa ya ajabu kama ile ya
'Mungu akasema tushuke na tuone huo mnara wa Babel wanao ujenga
Sasa hapo inasaund kama walikua kwenye Spaceship hivi!😁
Kuna ile Mungu alikua anashuka kila jioni kupunga upepo na kula mastory na Adam alikua anashuka toka wapi?😁
Nyingine ni ile Mungu amemtembelea Abraham pale mialoni mwa Mamre akiwa na Malaika wawili
Yaani Mungu yupo kaiwada na akala na msosi kabisa then wakaongea pale mastory na mipango yao😁
Ukisoma Summerian tablet zinadai hao kina Mungu &co walikua na tech ya kufa raia yaani hawahitaji gari kusepa Wana disappear without a trace ma time travel ya hatari so who are they
Au babu zetu walishindwa waelezea Annunak Nephilim from Nibiru Extraterrestrials planet ya kwamba ni viumbe ila kutokana na science na Technology za halo ya juu ndio wakawaita Miungu?
 

Attachments

  • ancient-sumerian-stone-carving-with-cuneiform-scripting-F3D826.jpg
    295.7 KB · Views: 7
  • 360_F_289761093_CVHQctzzwN5Y34rXeMYR8n2GpX9BiRZl.jpg
    55.5 KB · Views: 9
  • 1713731631303.jpg
    277.5 KB · Views: 9
Mungu alimtokea Ibrahim akiwa Peke yake
Mungu alimtokea Musa peke yake
Mungu alimtokea Muhammad akiwa peke yake.

Mungu hutokea watu wakiwa peke yako when no one is arond 😅 😅, Hapo ndio msingi wa uwongo ulipo
 
Panga litamkata kashikaje 😅 😅 😅
 
Habari ROOM 47
Una uhakika Neno Sayari kila lilipotajwa Kwenye Biblia Lilimaanisha Planet au Planetary Body??

Lets See..
Mafungu Uliyotoa..

Aya ya Kwanza uliyotoa Inatoka kwenye 1 Wafalme 25:5..

Lets See it in Hebrew kabla hatujaenda kwenye English...

1 מלכים כ"ג:ה

וְהִשְׁבִּית אֶת-הַכְּמָרִים אֲשֶׁר-נָתְנוּ מַלְכֵי יְהוּדָה וַיְקַטֵּר בַּבָּמוֹת בְּעָרֵי יְהוּדָה וּמְסִבֵּי יְרוּשָׁלַםּ אֶת-הַמְּקַטְּרִים לַבַּעַל לַשֶּׁמֶשׁ וְלַיָּרֵחַ וְלַמַּזָּלוֹת וּלְכֹל צְבָא הַשָּׁמָיִם.

Inatamkwa Hivi mzee wangu

Ve-hishbit et ha-kemarim asher natnu malkei Yehuda va-yekater ba-bamot be-arei Yehuda u-mesibbei Yerushalayim et ha-mekaterim la-Baal la-shemesh ve-la-yareach ve-la-mazzalot u-le-chol tz'va ha-shamayim.


Tafsiri kwa Lugha ya Kingereza


And he removed the idolatrous priests whom the kings of Judah had ordained to burn incense in the high places in the cities of Judah and around Jerusalem—those who burned incense to Baal, to the sun and to the moon and to the constellations and to all the host of the heavens.


Neno Nililowekea Alaama Nyekundu hasa Ndo Neno walilolitafsiri kama Sayari waingereza..
lakini neno hilo Hilo linafanana na Andiko La Ayubu 38:32...

Angalia Vuzuri kwenye Tafsiri ya Kingereza Utaona Neno Mazzalot..


Sasa Nataka Nikufundishe kitu nenda kaangalia Tafsiri ya Neno Mazzalot/Mazzarot..

Mpaka Leo Hii hakuna anayejua Maana ya Neno hilo..
Wengi wanahajaribu kubabia huenda Ikawa Nyota za Zodiac signs yaani Elimu ya Nyota..


So hakuna Mahali popote Kwenye Biblia Kunakotaja Syari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…