Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Am pretty Sure that's not how the saying goes....Kuna msemo Mmoja huwa naupenda sana kuutolea Mfano...
The Eyes can not see What the Mind is Not!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am pretty Sure that's not how the saying goes....Kuna msemo Mmoja huwa naupenda sana kuutolea Mfano...
The Eyes can not see What the Mind is Not!
Umbo la dunia ni debate mpaka leo kwa wajinga kama wale wanao debate kama UKIMWI upo au ni propoganda, leo hii kuna hadi picha na video zimepigwa na vyombo kutokea nje ya dunia.Na wewe unauhakika gani hizo sayari zipo km sayansi inadanganya?
Km tu umbo la dunia ni debate mpaka leo
Ninakazia hapo 😂Uko sahihi sana.
Dini ni tool ya kucontrol masses.
Period.
Ni mtu mjinga tu ndiye ana miaka 18+ na anaamini nyoka aliongea, mvua inaweza kunyesha dunia nzima na kuleta mafuriko dunia nzima kwa wakati mmoja au kwamba Kuna sehemu hewani inaitwa mbingu ambapo watu wataenda kunywa pombe mitoni na kuzagamua mabikira 70+ .
Hebu tuwe na akili kidogo, tuache kuact utoto wakati tumeshakuwa watu wazima.
Unaweza ukatupa uthibitisho usio na shaka kwamba Dunia Inazunguka?Kuna msemo Mmoja huwa naupenda sana kuutolea Mfano...
The Eyes can not see What the Mind is Not!
kama Ubongo wako Haujui kitu hata ukuonyeshwa huwezi kujua Ni nini hicho...
Katika Karne hizo hakuna mtu aliyekuwa anajua kuwa Kuna sayari nyingine na ndo maana maandiko yote yalideal na Dunia peke yake..
Hakuna mtu atakuonyesha Any proof kutoka katika Biblia Uwepo wa sayari zingine..
Kuna sayari zaidi ya 1Mil + na galaxy zaidi ya 500 na kila galaxy ina Star system yake..
So Unafikiri kwanini Galileo aliuliwa na Kanisa na kupewa Adhabu??
Baada ya kusema Dunia Inazunguka Jua Kinyume cha Biblia..
Kiswahili kina ubabaifu kwenye misamiati migumu ya Kingereza.
Hapo ndipo tunapopigwa😂Mungu alimtokea Ibrahim akiwa Peke yake
Mungu alimtokea Musa peke yake
Mungu alimtokea Muhammad akiwa peke yake.
Mungu hutokea watu wakiwa peke yako when no one is arond 😅 😅, Hapo ndio msingi wa uwongo ulipo
Mbingu ndio nini?
Hofu kubwa nyingine ni kuwa ukifiri nje ya box namna hiyo ni kuwa unakufuru na hiyo dhambi haisameheki.Hakika.
Ni muda wa watu kuachana na hofu walizopandikizwa na wahubiri, mapadre, walezi na waimba injili toka utotoni.
Mara ohh.. utachomwa moto, utapata mabalaa, kulia na kusaga meno ..
Aiseeh ..
MTego huoHofu kubwa nyingine ni kuwa ukifiri nje ya box namna hiyo ni kuwa unakufuru na hiyo dhambi haisameheki.
Unakufuru nani? Dhambi kwa nani? Na haisameheki kwa nani? Hebu tuache upuuzi shubaaamit😂
Aliekidanganya nani??Kama hata elimu tu ya kupatwa kwa jua walikuwa hawana ndiyo wataweza kutaja elimu ya sayari ambayo ipo very complex?
Yeah ni kweli..Am pretty Sure that's not how the saying goes....
Hapana Siwezi Mkuu, I am Flat EartherUnaweza ukatupa uthibitisho usio na shaka kwamba Dunia Inazunguka?
Oya amekutumia?em tuma voice note nisikie unvyotamka hii