Kwanini Waafrika hatulimi matunda yetu ya asili?

Kwanini Waafrika hatulimi matunda yetu ya asili?

Mkuu naweza kupata picha ya Matogwa namna nione yanafanana vipi???
1714660760644.jpeg
 
Kuna matunda yanapatikana Singida yanaitwa SASATI, aisee ni matamu yana kauchachu hivii, full of VITAMIN C.

Achana na hawa makasuku wanaotuletea uchafu wa machungwa ya kisasa yasiyo na virutubisho vyovyote, hebu jaribu kupata SASATI ZA SINGIDA ni noma.

Siku hizi tunakula matakataka matupu, mara ati sijui CHUNGWA LA KISASA 😂😂😁

Chungwa la mabeberu!! HOVYO KABISA.
 
Ila Kwasasa Kuna Neno Wanatumia Sana Hawa Wataalam Wa Kilimo
Hasa Wanaposema Mbegu Zilizoboreshwa Huleta Mazao Mengi Kwa Muda Mfupi Hapo Ndiyo Mbegu Asili Zinapotea/Zimepotea Kwa Kasi Sana.
Nadhani Masuala Ya GMO Kutoka Kwa Mabeberu Hatutaweza Kuzikwepa
Ni selective breeding ndiyo huleta hili, na si tatizo. Ikitokea mti wa fulani unaleta matunda makubwa na matamu sana basi kila mtu anakimbilia kupanda huo. Baada ya muda mbegu zingine zinapotea.
 
Natamani nilime shamba la matunda yote ya asili niyakusanye niyalime kwenye shamba moja.

Miaka kadhaa ijayo haya matunda yatapotea yotee, mtabaki na matakataka ya GMO.

Ukisikia kutekwa kwa vyakula ndio hii sasa!
 
Back
Top Bottom