Kwanini Waafrika hatulimi matunda yetu ya asili?

Kwanini Waafrika hatulimi matunda yetu ya asili?

Kuna mtu anajua haya kiswahili yanaitwaje? Porini tumeyala sana
1714661587650.jpeg
 
Mara nyingi, matunda ya asili yanaweza kuwa magumu kupatikana katika maeneo fulani au msimu fulani wa mwaka na yanaweza kuwa ghali mno kulingana na eneo na msimu. Bei ya juu inaweza kufanya iwe vigumu kwa watu wengi kuwa na upatikanaji wa kutosha wa matunda haya katika lishe yao ya kila siku.
Katika baadhi ya maeneo, watu hawana uelewa wa kutosha juu ya umuhimu wa matunda ya asili katika lishe yao.

Katika baadhi ya maeneo, kuna hatari ya matunda ya asili kuambukizwa na magonjwa au viuatilifu vilivyozidi kiasi hata hivyo mabadiliko ya maisha ya kisasa yanaweza kusababisha watu kugeukia vyakula vya kusindika au visivyo vya asili, kama vile vyakula vyenye sukari nyingi au vyakula vyenye mafuta mengi.
Lakini hata matunda ya kuja kama maembe, mananasi na machungwa nayo ni ya msimu.
 
Huku kijiji yapo baadhi mfano tope tope, maparachichi ya asili tokea enzi, mapera, strawberry za asili , kuna mengine nayajua kwa kilugha sijui kiswahili chake

sema wameshaleta miparachichi eti wanayaita ya kizungu, michungwa ya kizungu yaani full uzungu
 
Back
Top Bottom