JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Tunda la asili ni Lile la mti wa katikati!....Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili yanapatikana kwenu na ungependa kuona yanalimwa?
View attachment 2979094
Lipia mahari tu!.... Utalililima mpaka utachoka!
Wengine tunayalima haya matunda kila usiku! Hata mchana inapobidi!
Kuwa na staha!.....Haya matunda hayatakiwi kulimwa hovyo hovyo!