Kwanini Waafrika hatulimi matunda yetu ya asili?

Kuna matunda yanapatikana Singida yanaitwa SASATI, aisee ni matamu yana kauchachu hivii, full of VITAMIN C.

Achana na hawa makasuku wanaotuletea uchafu wa machungwa ya kisasa yasiyo na virutubisho vyovyote, hebu jaribu kupata SASATI ZA SINGIDA ni noma.

Siku hizi tunakula matakataka matupu, mara ati sijui CHUNGWA LA KISASA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜

Chungwa la mabeberu!! HOVYO KABISA.
 
Ni selective breeding ndiyo huleta hili, na si tatizo. Ikitokea mti wa fulani unaleta matunda makubwa na matamu sana basi kila mtu anakimbilia kupanda huo. Baada ya muda mbegu zingine zinapotea.
 
Natamani nilime shamba la matunda yote ya asili niyakusanye niyalime kwenye shamba moja.

Miaka kadhaa ijayo haya matunda yatapotea yotee, mtabaki na matakataka ya GMO.

Ukisikia kutekwa kwa vyakula ndio hii sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…