Hatuna matunda yetu ya asili yote yaliletwa na kina vasco da gama. Labda nduleleKatika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwa nini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili yanapatikana kwenu na ungependa kuona yanalimwa?
View attachment 2979094
MisasatiMikusu, matunda ugoro, mazambarau,
tatizo huchelewi kula funzaView attachment 2979096hili tunda daaaah lipo underrated sana. ila nalikubali sana.
Matunda yote uliyoyataja ni ya kigeni.Huku kijiji yapo baadhi mfano tope tope, maparachichi ya asili tokea enzi, mapera, strawberry za asili , kuna mengine nayajua kwa kilugha sijui kiswahili chake
sema wameshaleta miparachichi eti wanayaita ya kizungu, michungwa ya kizungu yaani full uzungu
Hizo Furu ladha yake ikoje?Furu na ngubalu kama kuna mtu yuko tayari tuyalime jamani haya matunda
Hapo ni makusu tu ndiyo ya asiliMang'ang'a, mafyulisi, makusa, mapora, numbu
M..ndu siyo? Sijui tu aliwaza nini aliyeamua kuyaita hivyo.Wanaitaga Mafurahisha š
Tikitiki la asili yalikuwa yale ya kijani,mzee wa denga sahv yamepotea kabisaHatuna matunda yetu ya asili yote yaliletwa na kina vasco da gama. Labda ndulele
Ni matamu tu ila yana kiharufu kama kunguni hv ila Mazur sanaHizo Furu ladha yake ikoje?
Haya ni mafurahisha mndukuKuna mtu anajua haya kiswahili yanaitwaje? Porini tumeyala sana
View attachment 2979110
Kabisa ile chumvi ya kulia bungo au embe Tanga wenyewe walia mahindi ya kuchomašKizazi cha sahv matunda kama hayo hawatajui,
Ova
Hata ya kizungu yalianzia porini. Huko Asia watu wanalima ukwaju kwa wingi na hili tunda asili yake ni Afrika. Panda mibuyu, vizazi vyako vitakula miaka mia nane ijayo. Kuna mtu West Afrika anapanda mibuyu. Inachukua miaka mingi sana kuzaa lakini akiwa anasubiria matunda, majani machanga ya mibuyu anatumia kama mboga, yanatwangwa kama kisamvu, full vitamin C.Hivi mtu unaanzaje kufanya kilimo cha Ngweda?, Ila ni tamu sana. Au basi tuseme mtu unaanzaje kulima Mabungo?. Matunda ya Afrika ni matunda pori tu. Badala ya shamba utajikuta unakuwa na pori la matunda
Mmea wa bungo hutambaa kama mpensheni, hivyo tunaweza yatoa porini mambo yakaenda,Hivi mtu unaanzaje kufanya kilimo cha Ngweda?, Ila ni tamu sana. Au basi tuseme mtu unaanzaje kulima Mabungo?. Matunda ya Afrika ni matunda pori tu. Badala ya shamba utajikuta unakuwa na pori la matunda
Ila bungo ni tunda la ajabu sana.Mmea wa bungo hutambaa kama mpensheni, hivyo tunaweza yatoa porini mambo yakaenda,
Tafiti zinaonyesha hata mahindi yalitoka porini
hilo tunda kwa funza sidhani, labda Popo ndo huwa wanapenda sana kulatatizo huchelewi kula funza