Akili za mtu mweusi zipo kuhisi kuonewa tu. Mtu umepauka lakini unataka eti kuoa mtoto wa mtu ambaye hata shida hazijui kisa dini? Mwanamke kwa mujibu wa dini ya Kiislam anahitaji kupewa ulinzi, makazi, chakula na mavazi, Sasa ndugu zetu nyinyi hamtaki kutafuta hela ila mnalazimisha kuoa kwa waarabu eti kisingizio ni dini. Wapo watu wameoa waarabu tena bila shida.
Ukitaka waarabu tu nenda hata Palestine, Syria wapo, ila kama unataka Bakhersa na wa aina yake wakuozeshe wewe kapuku unakosea, Hata kina Kikwete, Kimei, Mwinyi, Makame, Mengi hawawezi kukupa watoto wao kama wewe ni hohehahe