Kwanini Waarabu hawataki tuoe kwao?

Kwanini Waarabu hawataki tuoe kwao?

Mbona wao hawalilii kuoa kwenu? Acha kujidhalilisha na kujishusha hivyo, hata wewe ni binadamu kama wengine una mama na baba!
moja ya mafanikio kwa kijana wa kiislam ni kuoa kapemba keupe.
 
Habari za majukumu wakuuu,

Kama kichwa cha habari kinavyosema,kwanini sisi watu weusi (waafrika) imekuwa ngumu waarabu kukubali tuoe binti zao hata kama tumekidhi vigezo vya dini ya kiislam?

Imekuwa ni kawaida wao kuoa kwetu bila shida kabisa, pia ikumbukwe vitabu vya dini zote zimesisitiza upendo, kujaliana, kuthaminiana pia usawa kwa watu wote?

Imekuwa ni kawaida kabisa waafrika kuoa wazungu mfano Harmo vs Saraha, Remmy vs Mzungu, Linex vs Mzungu enzi hizo pia bila kumsahau Chindo man na Hussein machozi.

Je, suala hilo lina fungamana na imani ambayo kwa kiasi kikubwa wao hutuhubilia kila siku pia kuenezwa duniani ili tujifunze na kuifuata au nini maana ya hili?

Je ni sahihi tufuate dini na imani iliyo katika mlengo huo?

Najua hata mabeberu (wazungu) ni wa baguzi tena si wema sana ila wao sisi tuna oa ata ubaguzi wao ni mdogo kwa sasa ukilinganisha na Mwarabu.

Mwenye orodha ya weusi 10 wenye wake Waarabu tunaomba atuwekee hapa ili isionekane ni propaganda au uchafuzi wa watu fulani au dini fulani[emoji120]
Mwarabu ni mbaguzi wa asili, ukishakuwa mweusi hata uwe na pesa au mcha-dini kiasi gani hung'owi jiko kwenye familia yake! Kwao kuolewa na mtu mweusi ni mkosi! Mtu wa hivyo anapata wapi ujasiri wa kunishawishi niiamini dini/imani yake?
 
Najua hata mabeberu (wazungu) ni baguzi tena si wema sana ila wao sisi tuna oa ata ubaguzi wao ni mdogo kwa sasa ukilinganisha na Mwarabu.

Mwenye orodha ya weusi 10 wenye wake Waarabu tunaomba atuwekee hapa ili isionekane ni propaganda au uchafuzi wa watu fulani au di fulani[emoji120]

Ni kwa sababu miafrika ni mijitu inayopenda pombe, ngono, mivivu, inapenda sifa, na madaraka ambayo hawawezi kufanya chochote cha maana
 
Mwarabu ni mbaguzi wa asili, ukishakuwa mweusi hata uwe na pesa au mcha-dini kiasi gani hung'owi jiko kwenye familia yake! Kwao kuolewa na mtu mweusi ni mkosi! Mtu wa hivyo anapata wapi ujasiri wa kunishawishi niiamini dini/imani yake?
Waafrika ni wabaguzi zaidi hata machotara hubaguliwau waulize CCM
 
Habari za majukumu wakuuu,

Kama kichwa cha habari kinavyosema,kwanini sisi watu weusi (waafrika) imekuwa ngumu waarabu kukubali tuoe binti zao hata kama tumekidhi vigezo vya dini ya kiislam?

Imekuwa ni kawaida wao kuoa kwetu bila shida kabisa, pia ikumbukwe vitabu vya dini zote zimesisitiza upendo, kujaliana, kuthaminiana pia usawa kwa watu wote?

Imekuwa ni kawaida kabisa waafrika kuoa wazungu mfano Harmo vs Saraha, Remmy vs Mzungu, Linex vs Mzungu enzi hizo pia bila kumsahau Chindo man na Hussein machozi.

Je, suala hilo lina fungamana na imani ambayo kwa kiasi kikubwa wao hutuhubilia kila siku pia kuenezwa duniani ili tujifunze na kuifuata au nini maana ya hili?

Je ni sahihi tufuate dini na imani iliyo katika mlengo huo?

Najua hata mabeberu (wazungu) ni wa baguzi tena si wema sana ila wao sisi tuna oa ata ubaguzi wao ni mdogo kwa sasa ukilinganisha na Mwarabu.

Mwenye orodha ya weusi 10 wenye wake Waarabu tunaomba atuwekee hapa ili isionekane ni propaganda au uchafuzi wa watu fulani au dini fulani[emoji120]

tafuta pesa utaoa Mwarabu umtakaye, wale viumbe wapo makini sana hawataki watoto wao kugeuzwa fursa
 
Siyo kweli, hata ukiwa na pesa hung'oi mtoto wa kiarabu labda utaambulia michotara ya uswahilini.
 
We mtu mweusi kwa MUHINDI NA MWARABU WEWE NI NYANI NYANI....
MZUNGU YEYE SABABU ANAHITAJI STRONG GENES ZENU NDIO MAANA ANAKUBALI KUZALIANA NA NYIE
 
Siyo kweli, hata ukiwa na pesa hung'oi mtoto wa kiarabu labda utaambulia michotara ya uswahilini.
Kwanini msiwaoe Dada zenu wakimatumbi?? Mnaishia kuwazalisha na kuwaacha halafu mnalilia kuoa Waarabu😂 Ni aibu kubwa kwa Mvlana/Mschana Wa kiarabu kuzaa nje ya Ndoa ila kwenu ni kawaida mnaiga Wazungu!! Ni aibu Kubwa kwa Mschana wa Kiarabu kuvaa nguo za nusu uchi ila kwenu ni kawaida mnaiga wazungu!! Ni aibu kubwa tabia ya ulevi ila kwenu ni kawaida mnaiga wazungu!! bado UCHAWI NA TABIA ZA KUGOMBEA MIRATHI Mh, Tabia zenu MBAYA NA USHIRIKINA ndizo zinawatisha! Waschana wa Kiswahili wanaishi na waume bila Ndoa ila Mschana wa kiarabu hathubutu kufanya hivo labda awe mjane aliepinda. Mschana wa Kiswahili anaweza kuolewa akaishi chumba kimoja ila mschana wa kiarabu its Impossible wanapenda privacy, Huoni hapo kuna Cultural differences?? Unahisi Ndoa inaweza kudumu hapo?
 
Back
Top Bottom