Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
- Thread starter
- #41
mfano wa mbongo alofanikiwa coz pesa ata Vunja bei anayo[emoji120]Pesa tu, ukiwa nayo unaoa sana hao..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mfano wa mbongo alofanikiwa coz pesa ata Vunja bei anayo[emoji120]Pesa tu, ukiwa nayo unaoa sana hao..
Mkuu hao wanaoleka...mfano wa mbongo alofanikiwa coz pesa ata Vunja bei anayo[emoji120]
Waarabu issue ya kuoa ni nyeti haijalishi wewe ni Mzungu, Mchina, Mweusi ama hata mwarabu.Mbna wazungu tunaoa bila hayo mashart yako ya kupauka afu ungetuonesha kwanza wabongo 10 wenye wake warabu
🤣🤣Hawataki kukaribisha nuksi na mikosi kwenye familia zao
mkuu umejitaid kutushawish acha wengn wana kosa point na kujaza mitusi tu wakat hapa ni hoja tu,ubarikiwe[emoji120]Si kweli Nchi hii na Hata bara la Africa na watu weusi kwa Ujumla wameoa waarabu wengi tu.
Raisi mstaafu mwinyi mke wake bibi siti mwarabu, Karume mke wake Mbulushi/muoman kama sijakosea same kwa watu wengine maarufu kama Wabunge.
UKija Africa babu Alpha Blondy juzi tu kaoa mwarabu hapa
View attachment 2423415
Wakina Mbape hao mama zao waarabu, na kuna list kubwa tu ya wachezaji mpira weusi wenye wake waarabu.
List yoote hiyo niliyotaja ina kitu kimoja in common, wote ni watu wenye pesa na uwezo, wapo waarabu wenye dini wanaweza kukupa mke, kuna imam huku Tanga anasoma Quran vizuri ameozeshwa mke wa kiarabu ila hii ni mara chache sana, most of time inahitajika hela, maana mahari tu kawaida kutajiwa milioni 20.
Waarabu pia wana makalio makubwa wengi tu,unaoaje mtu akiinama chumba mboga unaona tundu la samadi liko wazi kabisa.
Basi ni wabaguz tukubalHawataki kukaribisha nuksi na mikosi kwenye familia zao
jitaid kutushawish mkuu ili tuzd kupata uwianoWaarabu issue ya kuoa ni nyeti haijalishi wewe ni Mzungu, Mchina, Mweusi ama hata mwarabu.
Kuna waarabu wanaume wanamaliza nyumba hawapewi wake, usije ukafikiri ni treatment ambayo ni exclusive anafanyiwa mtu mweusi.
Ingekuwa waarabu wanaolewa kirahisi na wazungu ama wachina na weusi wanabaniwa hapo ungekuwa na ground.
Na kuna uwezekano waarabu wanaolewa zaidi na weusi kuliko wazungu.
sawaMkuu hao wanaoleka...
Uwiano mkuu,afu nmeish nao sana nawapata vzur[emoji120]Ni dhahiri hili jambo una manufaa nalo ndio maana umelileta tena hapa. Mimi nipo hapa ununio dar es salaam.
Sijui kwanini waislamu mmeumia sana kwa jamaa champion kwenda world cup Qatar. Ni sehemu tu ya maisha, tukubali kwamba level zinatofautiana maishani.
Labda na wewe nikuombe unipe ushahidi unaokufanya uamini madai yale. Just that simple.
Kati ya Race ambayo haina systematic racism ni waarabu, mwarabu hafikirii kwamba mweusi hana uwezo wa kuwa dokta ama ana IQ ndogo etc.Waarabu ni wabaguzi wakubwa sana. Mbaya zaidi wameteka akili za baadhi yetu kwa kuwapa tende, halua na futari wakati wa mfungo badala ya kuwapa elimu
Wewe umeongea kweli kuna kasumba ya masingo maza wa kimagharibi waliotelekezwa na vijana wa ki Saudi walioenda huko magharibi kimasomo wakawazalisha madem wakurudi kwao wanakatazwa kuwaoa. Dini yenyewe na sharia yake ndio kikwazo namba moja.Waarabu issue ya kuoa ni nyeti haijalishi wewe ni Mzungu, Mchina, Mweusi ama hata mwarabu.
Kuna waarabu wanaume wanamaliza nyumba hawapewi wake, usije ukafikiri ni treatment ambayo ni exclusive anafanyiwa mtu mweusi.
Ingekuwa waarabu wanaolewa kirahisi na wazungu ama wachina na weusi wanabaniwa hapo ungekuwa na ground.
Na kuna uwezekano waarabu wanaolewa zaidi na weusi kuliko wazungu.
kidogo kama tunawez kukuelew,binafsi mimi nmewala sana hawa ila mpaka nina picha zao sema ni private sana ila hii kasumba wanayo[emoji120]Mbona huku kwetu wapo waarabu wengi wakikirsto na wenyew hawataki tuwaoe,nafikiri liende kimlengo wa Utamaduni wao na Si kidini
Wa kwanza manaraMbna wazungu tunaoa bila hayo mashart yako ya kupauka afu ungetuonesha kwanza wabongo 10 wenye wake warabu
[emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960]Jana ulivuliwa nguo hadharani, badala ya kuchutama umekomaa kukaza misuli ya shingo!
Kila mtu aje na the same argument kuhusu wewe, wote wanakuonea wivu? Who the fuc*k are you kila mtu akusingizie...